07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

pengine ili kua ni nzuri, vile vile katika hiyo ndoa yao msichana mkenya na mgerumani au mtanzania akizaa watoto hao watoto

wa haya hawawezi kua ni wakenya lakini kama inge kua ni mwanamume ama oa mtanzania watoto wanakua wakenya kwa

urahisi. Hiyo tena inakua ni ubaguzi. Kwa mambo mengine ambayo pengine wa kina mama wame ikazia siwezi nikaingilia sana

upande huo lakini sana na kaza upande wa uraia ambaye naona wanawake wetu wame fagiliwa sana. Kama mtoto tunatuma

ma vijana wetu waende wakasoma ng’ambo pamoja na wavulana wengine wanaweza wakarudi wameoana na watu wa nchi

zingine kama ni mvulana mtoto ana kua mkenya kama ni msichana inkua ngumu na one turekebishe sheria upande huyo. Kwa

hayo machache au marefu na sema asanteni sana kwa kunisikiza. Thank you very much.

Com. Ayonga : Mweshimiwa Kirui tunataka kuku shukuru sana nathani kazi yetu haingelikua complete without having

your presentation. Umefika and in a very systematic way ume present your paper ambaye itakua very useful katika kazi yetu ya

kurekebisha Katiba. Nakushukuru sana sana kwa kuweza kutupa hii presentation yako. Watu wako hapa wame changia sana

na ume tupa presentation ambayo itatu saidia mno kwa kufanya kazi yetu ya kurekebisha Katiba. Nataka nikuhakikisha ya

kwamba wakati ambapo umechora jina yako hapo presentation yako ita kuwa registered as a document ambaye itatusaidia

katika kurekebisha Katiba. Na ambavyo utakua mmoja wapo ya wale ambao watakao kua katika national conference utaona

kwamba mambo yako yamo na pia itatusaidia pia kwa kurekebisha Katiba. Na kushukuru sana Bwana mweshimiwa na tume

kuwa na mkutano mzuri ambaye nili kua nimesha ambia watu wako hapa asubuhi kabla huja fika kwamba our meeting with

your people of this constituency has been very fruitful. Na kama hakuna mengine... Nataka yule mama wetu ambaye alikua

amejitolea ili aweze kutotolea maombi, mama ningelipenda sasa usimame tena [inaudible] sasa itakua ni maombi, mama alisha

kua amesha sema [inaudible]

Ms. Sophia Too : Itoche Kipsigis o anan itoche achon? Toche alak tuguli. Kongoi Jehovah amun saini Kakenyoru.

Awekyini kongoi Mheshimiwa ne momi kit ne kerge ne ndomo saisiek che begu amun ka ng’alekab raini ko kakilitite

ng’alekab ole kibetitoi en ngweny.

Kongoi en ng’alek che kakosomonwech, en sobenyin, ak en tuguk tuguk ak ole kimoche kesopten Kenya.

Osoe kityo, lakini nyigis muguleldanyun Kipsigisiechu; olenyigisindo muguleldonyun ko kin keget tondet koroboni

koiyan kome koronon, noton ne iimon, mache agot kelenjon lianen kowendi chito en koroni? Matomwa. Asoe Jehova,

kose Jehova, kose Jehovah chotoni? Mokose Jehovah. ngoja kwa nini sisi watu wa Mungu sisi nataka omba Mungu halafu

nabariki sisi, si hata nchi imekauka, kiangazi namaliza sasa dunia yetu, kila siku hatu, karibu watu na taabika kwa jua kwa nini

kwa maana watu hapana omba Mungu kwa amani ya Mungu kila mtu na chukua kitu na fanya namna gani namna gani halafu

nasema kama na sema omba Mungu ni kidogo. Omba omba kidogo, hii kitu inasema nini. Jseu ali sena kwa siku ya hukumu

kama mini na keti kiti nita gawa watu kenda upande hii na upande hii kwa maana mimi nilikuja kwako wewe na fukuza mimi,

mimi nilkua mugonjwa hapana ona mimi, milikua njaa, nilikua uchi, nilikua namnagani hakupata kwenda njia yenu na hii njia

yenu.

Interjection: (Inaudible)

126

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!