12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Joel Ng’etich : All schools in Kenya must be provided with facilities like text books

Com. Ayonga : We know.

Mr. Joel Ng’etich : Equally.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Joel Ng’etich : Thank you.

Com. Abubakar : Mama uje haraka tafadhali.

Ms. Dina Bii : Kwa majina naitwa Dina Bii.

Com. Abubakar : Songea karibu na mic [inaudible] jina lako ni,

Com. Ayonga : Jina

Com. Abubakar : [Inaudible]

Ms. Dina Bii : Kwa majina naitwa Dina Bii. My proposal ni juu ya wasichana wetu. Wasichana wetu wakienda ng’ambo

waki zaa hawa kuji na watoto wao, na wanaume wakienda ng’ambo wanakuja na watoto wao. Tunataka wasichana wa

Com. Abubakar : Unataka Citizenship ipwe kwa mzazi kwa ni mwanaume au mwanamke.

Ms. Dina Bii : Mwanamke iwe sawa.

Com. Abubakar : Sawa.

Ms. Dina Bii : Tena ingine ni juu ya Chief and Assistant Chief. Assistant Chief wapewe mamlaka sana kwa sababu

tukienda ng’ambo mbele tunaona ma Chief na Assistant Chief wanachaguwa kwa [inaudible] sasa wapatiwe support sana

kwa sababu wengine wanaweza wafutwe kazi, lakini tunataka wapatiwe nguvu zaidi.

111