12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Ms. Joyce Mutai : Wasichana wasio olewa ningependa sana kukazia kwa vile tunaona katika kijiji yetu wasichana wasio

olewa wako kwa wingi. Na ningependa kukazia hio sheria ya kwamba, Serikali iangalie hao wasichana, watunzwe ili wapate

nguvu nao pia hapo mbeleni wanaweza kupata kazi, ama wanaweza funzwa kazi ya mikono ama wafundishwe mambo mengi.

Com. Abubakar : Sawa

Ms. Joyce Mutai : Wazee wakongwe. Vile ninaonelea wazee wakongwe afadhali wa wekwe pamoja kwa sababu

wengine kufaa kabla kufika wakati wao na vile ninaonelea vile ninaona wamama wakongwe ana wazee wawekewe pamoja

watunzwe ili wawe na nguvu na wapate kukaa miaka nyingi.

Com. Abubakar : Unataka wajengewe nyumba peke yao?

Ms. Joyce Mutai : Wajengewe kama shule...

Com. Abubakar : Au wapewe allowance waangaliwe kule wako?

Ms. Joyce Mutai : Serikali iwatunze. Mambo ya wasichana wenye wameenda pale town ama niseme tu Malaya.

Afadhali tuweke sheria ya kwamba wasichana wote wakomeshwe kwenda huko town na wafundishwe wafanye kazi fulani ili

wapate, ili tupate hii mambo ya Ukimwi ikome.

Asante sana

Com. Abubakar : Asante sana dada uende pale juu ujiandikishe kwenye yule Bwana mwenye shirt ya blue. Asante sana.

Lilly Lang’at. Utaje jina na usongee karibu kabisa na mic, karibu kabisa.

Ms. Lilly Lang’at : Kwa majina ni Lilly Lang’at.

Com. Abubakar : Songea karibu

Ms. Lilly Lang’at : Kwa majina ni Lilly Lang’at kutoka Sikowet Women’s Group. Kwa machache nataka kusema

kidogo tu yangu ni kusaidia wa group finance ili tuende kwa vijiji tu hubiri maneno ya Aids control na kusaidia watu wale iko

kwa nyumbani hatoki kusikia maneno kwa hapa kwa makutano. Sasa tunaomba mikopo kwa wa kina wa mama wa Sikowet

ili tutembee tufundishe wengine wako nyumbani.

47