07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Maneno ya nchi ime haribika lakini vile ina wezekana ikiwa wazee wanasimamia maneno yao kwa kila District itakuwa mzuri.

Hii maneno ya liberalization imeleta taabu ya nchi hii yetu tunataka liberalization iwe abolished halafu ile mavuno ambayo

wananchi wanatengeneza nyumbani au wana vuna iwe inapata market.

Com. Abubakar : Asante sana Bwana Koech uende pale ujiandikishe. Oluoch uangalie mic ilivyo kaa uiweka vizuri

tafadhali. Zacheaus Sang?

Mr. Zacheaus Sang : I am Zacheaus Sang my name and these are my few remarks. Everybody who had parents before

independence should be given citizenship with proof with the issuance of an identity card.

Defence and National security should not be to the President but to the Parliament because if there is war the President who has

no second man can sometimes misuse the Government resources.

And others I will give out as I have written.

Com. Abubakar : Asante sana Bwana Zacheaus Sang. uende u-sign register na hiyo memorandum uiwache kwetu kwa

sababu tutaitumia. Asante sana. bi Alice Koskei? Karibu mama.

Mama. Alice Koskei : Kwa majina naitwa Alice Koskei [inaudible]. kwa majina naitwa Alice Koskei. Mapendekezo

yangu ni ya kwamba wanawake na wanaume wawe sawa kwa madaraka.

Tena wasichana ambao wako nyumbani wapatiwe ardhi kwa sababu wengine wako nyumbani wamezaa watoto lakini hakuna

wanaume ambao wana chukua hawa. Sasa wapatiwe ardhi ili wakae hapo. Asante

Com. Abubakar : Asante sana mama Alice uende kule juu uandike kwa register yetu, asante sana mama. Sasa nitaita

watu wengine kama watano hivi. Pascallia C. Sitonei? Mama uje karibu. Halafu afuatiwe na Eric Chepkwony? Eric? Eric

yuko? Eric Chepkwony uje ukae hapa Eric mimi nataka watu wanaozungumza ndio wakae hapa karibu. Jeremiah Siele?

Haya sawa Mzee. Pius Ruto? Bishop Chumo? Bishop Chumo? Oh! Mzee yuko hapo, Mzee tafadhali uende ukae hapo, hata

uje tu hapa mlete tu Mzee hapa karibu na sisi. Pius Bet? Pius Bet? Yuko Pius Bet? Mama ninge kuomba ukae kando kidogo

umumruhusu Mzee kwa sababu ya umri yake sijui kama uta kibali mama. Ni sawa. Mzee kwa sababu ya umri wake Mzee

aseme kwanza.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Kokestoge ng’alek en kutit.

54

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!