12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Mr. Edward arap George : Ya pili ni na unga mkono kuandikwa kwa mwalimu ya Nursery na Tsc wasiwache nyuma...

Com. Abubakar : Tumeelewa.

Com. Ayonga : Na ulisema ni neno ni moja.

Mr. Edward arap George : Iko moja tu.

Com. Abubakar : Ya mwisho.

Mr. Edward arap George : Ya mwisho ilikua, nimesahau kidogo, ngoja...

Com. Abubakar : Hawa wamejiandikisha saa hii wamekuja sasa hivi. Ehe!

Speaker : [inaudible]

Com. Abubakar : Siulizi wewe nauliza hao watu, kwa nini hawataki kuitikia.

Mr. Edward arap George : Ya mwisho kabisa nimeonelea mimi mwenyewe education hii inasemekana ni free kutoka

Primary School imekua ni ngumu kua free.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Edward arap George : Hata nilikua naomba ilipwe. Halafu Secondary school mpaka university iwe free.

Com. Abubakar : Sawa

Com. Ayonga : Enda ujiandikishe

Com. Abubakar : Nataka nijue tu hawa watu ni nani? Moses Ruto? Mwangi Edward? Ng’eno Charles? Rono Wilson?

Rono Wilson? Joel Ng’etich? Dina Bayo? Sasa mimi Nikiita watu watoe maoni wanakataa halafu nikisema ndio ya mwisho

ndio munasema munataka ku sema. Mumekuja saa hii. Haya muje mukae kwenye hii viti vile na ita watu. Aje Moses Ruto kiti

cha karibu na mic. Mwangi Edward, Ng’eno Charles, Rono Wilson, Joel Ng’etich, Dina Bayo, Francis Tanui, Jonathan Kirwa,

wakae kulingana na line hiyo.

107