07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mr. Kipsoi arap Chumo : koik chamaisiek angwan che telelchin emet, che borchin ge ng’echeretab emet.

Translator : Tunatakia Kenya hii yetu iwe na vyama nne tu.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Mwoe bikap nyot kole nyolu Kenya kotebi en kalyet, chamyet, kibagenge, ye mamite

boryot.

Translator : Wazee wa nyuth? wanasema Kenya iwe na amani upendo na... na... amani.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Na usalama.

Translator : Na usalama.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Ko mi yu kartasit any ne kikesir tuguk tugul che mamuchi amwa ingunon.

Translator : Mzee ametengeneza maneno yake kwa hii kitabu na hawezi kusema yote.

Com. Abubakar : Sawa muambie Mzee Bishop...

Mr. Kipsoi arap Chumo : Abokokwok oibe?

Translator : Anasema akikubalia akiwacha hapa nyinyi mtuachukua?

Com. Abubakar : Tutachukua Mzee, na nitakuletea kijana, urudi pale ulikuwa ume kaa nitakuletea kijana aje achukue. Na

umwaambie Mzee tunashukuru sana kwa niaba ya wa Elders wa nyuth? awapelekee salamu tumesema asante

Mr. Kipsoi arap Chumo : Kole kacham ng’alekuk kabisa ago yon kewe inyoru boisieguk imwochi kongoi ilenchi

koboiboitu bikap commission kabisa en ng’alechuton.

Translator : Asante

Com. Abubakar : Asante sana. Kama Bwana Ndirangu utamletea Mzee, atakuja kijana kuchukua hiyo kitu Mzee wangu,

umuletee hiyo na uchukuwe hii memorandum yake. Asante Mzee. Dada asante kwa kusubiri. Sasa ufanye iwe zamu yako.

Asante.

Ms. Pascallia Kipkorrir Sitonei : Asante kwa wakati huu mimi naitwa Pascallia Kipkorrir Sitonei kutoka Kiptomei?

58

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!