07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Translator : Those are my suggestions.

Com. Abubakar : Haya mtu wa mwisho kuzungumza akuje utaje jina [inaudible] Mzee, kijana uende kujuandikishe kule

[inaudible].

Mr. Charles Lang’at Tonui : Mimi naitwa Charles Lang’at Tonui mkenya. Maoni yangu ya kwanza ili tuondoe mambo

ya anti-corruption lazima tuwe na office ya Ombudsman.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Charles Lang’at Tonui : Ya pili. Land Commission lazima iwe established kwa sababu information hatuna

information mzuri, lazima tuwe transparent kwa hii mambo ya lands.

Mpaka sasa sisi hatuna ofisi ya ma-Sub-Chief na lazima inaendelea na mambo ya shamba. Kwa sababu Sub-Chief ni mtu wa

Serikali na lazima awe na ofisi yake na information yote ya shamba. We must be very transparent.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Charles Lang’at Tonui : You see. Ya tatu. Ofisi ingine mimi na sahau ni ya Mp. Kwa sababu, kwa nini mimi ni

mkenya na mimi na pigia yeye kura na amesha ingia Parliament lazima awe na ofisi halafu sisi tuwe na access ya information

yote. Tunasikia saa ingine mambo ya airways inauzwa, hii mambo ya companies inauzwa na hatuna information ya kwa

wananchi.

Com. Abubakar : Make you point.

Mr. Charles Lang’at Tonui : Lazima tuwe na ofisi ya Mp.

Com. Abubakar : Tumeelewa.

Mr. Charles Lang’at Tonui : Ya tatu ni mambo ya majimbo. Hii mambo ya majimbo we are aware of the poverty in the

country so we must have a proper organization. We should share the national resources equally. Tunaweza tuma watoto

wasome free na hatuna mambo ya resources. Sasa lazima tuwe na majimbo na tuendelee mzuri.

Com. Abubakar : Asante sana Mzee. Nilipo kua niki kuuliza ulikuwa wapi?

105

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!