07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Com. Abubakar : Hayo maandishi ninayaona hapo mikononi?

Mr. Francis arap Koech : Nitasoma tu kidogo..

Com. Abubakar : Chagua yale muhimu utuambie...

Mr. Francis arap Koech : Basi...

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Francis arap Koech : Kwanza ni naunga ule ambayo inasema Kenyans lazima kua kila mtu apate land ya 10 acres

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Francis arap Koech : Kila mtu.

Com. Abubakar : Kila mkenya

Mr. Francis arap Koech : Kila mkenya.

Adc farm lazima igawanywe itolewe si ya ku kaa bure. Adc farms.

Com. Abubakar : Sawa. Na wapewe nani?

Mr. Francis arap Koech : Ipewe Kenyans.

Com. Abubakar : Hata ukiwa unakaa Lamu upewe Adc farm?

Mr. Francis arap Koech : Hiyo Lamu, hiyo land ipewe wala ambao wako...

Com. Abubakar : Ambao wako karibu na hiyo...

Mr. Francis arap Koech : Awe karibu na Adc farm hiyo.

98

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!