07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ambaye anaweza kusimamia mambo ya corruption lakini sio Kenya Police and Anti-Corruption Unit.

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Fred Ng’eno : Nafikiri ni hiyo tu.

Com. Abubakar : Asante sana Bwana Ng’eno uende ujiandikishe pale. Bwana Benjamin Mutai.

Mr. Benjamin Mutai : Asante sana ma-Commissioners mimi ni Benjamin Mutai Diwani kutoka upande wa Kiptere.

Ningependa kutoa pendekezo kwa ma-Commissioners wa sheria na la kwanza, ningependa kutaja mambo husu soko huru ama

liberalization ningependa kusema liberalization inge kuwa kwa kiasi fulani kwa yale vitu ambaye hayako katika upande wetu.

Na la pili ningependa tena kusema sheria hainge bagua watu wengine, kwa kuwa wakati huu uwa wana ubaguzi wakati

mwingine katika sehemu za masomo. Facilities uwa upande mwingine nazidi upande mwingine wengine wakati wengine hawana

facilities za kutosha, hata wakati wa kuandikisha mashule, upande mwingine wanahitajika kuwa na acre tano na wengine

wanasomea hata juu ya gorofa, na hawana mashamba ya ku kimbilia kimbilia.

Na la pili ama la kumalizia, ningependa kusema makanisa wangepewa uhuru wa kuabudu na vile mwenzangu alikuwa amesema

uhuru kuabudu Mungu sio kuabudu Sheitani.

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Benjamin Mutai : Naweza kusema tu ni hayo machache tu.

Com. Abubakar : Asante sana Councillor tafadhali ujiandikishe pale kwamba umetoa maoni na hiyo memorandum

utuwachie. Asante Sana. Rael Mirgor? Rael Mirgor? Rael Mirgor mara ya mwisho. Sasa nitaita majina, Fanice

Chepkwony? Dada kiasi anakuja nataka Joyce Mutai, Lilly Lang’at, Samuel Koech, na Bernard Cheruiyot wajitayarishe.

Ngoja ngoja ngoja dada. Joyce Mutai yuko? Uko wapi? Uko hapa. Lilly Lang’at njoo huku dada ukae hapa karibu na hichi

kiti cha hapo. Samuel Koech? Samuel Koech? Samuel Koech hayuko. Bernard, Doctor Rotich Joseph ukae hapa karibu

tafadhali, Bernard Cheruiyot? Bernard Cheruiyot? Hayuko? Bernard hayuko. Retired Chief Ezekiel Tanui? Uko? Uko

karibu, asante sana. Dada endelea.

Ms. Fanice Chepkwony : Okay

Com. Abubakar : Songea karibu na mic kabisa uinue kidogo, inue juu kidogo.

45

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!