12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Isaac Tanui : but not stay idle. Okay another one is the Kangaroo Courts we see in Police stations and Chief

offices...

Com. Abubakar : What do you want?

Mr. Isaac Tanui : I don’t want corporal punishment in Chiefs..

Com. Abubakar : You don’t want any judicial processes where there are no courts.

Mr. Isaac Tanui : Yes

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Isaac Tanui : That is all.

Com. Abubakar : Uende pale ujiandikishe asante sana. Bwana Jackson Chepkwony. Pengine watu wamekuja late

hawaelewi pengine maneno nilikuwa na sema mimi. Sisi habari ya matatizo na historia tunajua, geographia tunajua,

environmental issues tunajua kitu tunataka ni proposals zako. Kitu kitaingia kwenye Katiba tutafikiria kuingiza kwenye Katiba

ni mapendekezo yako kama mkenya tufanye vipi, sio matatizo. Tuta tatua vipi hayo matatizo. Asante Bwana Chepkwony ni

zamu yako.

Mr. Jackson Kipng’eny Chepkwony : Asante sana Bwana Commissioner kwa hii Tume tungependa ya kwamba kila

kabila kila tribe [inaudible] Jackson Kipng’eny Chepkwony. Ya kwamba culture ya kila kabila ifadhiwe na sheria.

Ya pili mother tongue ifundishwe kwa shule.

Ya tatu Katiba the new Katiba be part of the subjects syllabus in Primary Schools and Secondary Schools.

Ya nne tunahitaji majimbo kabisa. Unaona nchi zingine kama Ugerumani, United States, Nigeria na nchi zingine wame endelea

na majimbo.

Com. Abubakar : Sawa.

65