12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Mr. Jeremiah Misich : Bas, ingoyam kou noton.

Translator : Hiyo inatosha.

Com. Abubakar : Asante sana Mzee kongoi? Uende kule Mzee kule ujiandikishe pale juu. Anaye mufuatia aje. Bwana

Francis Cheruiyot. Aje. Nyinyi mumejipanga kwa hiyo line ukiona mwenzako ametoka unakuja. Si Mzee ni Francis baada ya

Francis ni Alfred sio? Ukiona ametoka ameenda kule wewe unakuja mara moja. Endelea.

Mr. Francis Cheruiyot : Kwa majina langu ni Francis Cheruiyot kutoka Sosiyo?

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Maoni yangu...

Com. Abubakar : Ngoja Bwana Francis. Hebu hiyo amri nairudishia tena Mzee huku, Mzee mwenye kofia, naomba

hapo upawe [inaudible] vizuri hapo tafadhali. Asante Mzee wangu.

Mr. Francis Cheruiyot : Maoni yangu ni kuhusu banks. Kuna hii banks ya Kericho yote wakati wamepata accumulated

money wanachukua mpaka Central Bank yao, ningetaka hiyo pesa iwekwe Kericho as loan halafu unadevelop every District

apate hiyo loan

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Apate hiyo loan naku...

Com. Abubakar : Ya bank peke yake au ni kampuni zote unataka hiyo.

Mr. Francis Cheruiyot : Kampuni si hivyo ma kampuni the banks ma-banks.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Maoni ingine yangu kuna mabibi wameolewa lakini wakati wamekosana na mtu unaweza enda,

wakati wanataka rudisha wanakataa, na anaweza kataa mpaka miaka tano miaka sita na hiyo ningetaka hiyo iwe automatic

divorce.

90