07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kwa madawa watu wapewe haki ya kutafuta dawa yeyote na atibu mahali hapo kwa sababu hata dawa kama hii ya ukimwi

ingesha patikana lakini Serikali ili zuwia watu wenye wana weza kujaribu jaribu madawa haya.

Machinery iwe free kwa farm implements vitu kama ma-tractor nini, wa wekwe free kwa vile...

Com. Abubakar : Sawa [inaudible]...

Mr. Eric Kerich : Tena...

Com. Abubakar : Unataka vile vya kutumia katika kulima zi si wekwe tax...

Mr. Eric Kerich : Zi si wekwe tax..

Com. Abubakar : Sawa endelea

Mr. Eric Kerich : Ingine ni hii mambo ya squatters wapewe mashamba kwa vile wako in a free country wapewe wawe

free nayo.

Com. Abubakar : Asante sana kijana uende pale... Julius Endelea Julius utaje jina na uendelee...

Mr. Julius Matiguwany : Thank you very much mimi naitwa Julius Matiguwany niko na mapendekezo machache sana.

Kwanza office of the Ombudsman should be created in the District.

Com. Abubakar : Sawa...

Mr. Julius Matiguwany : Executive powers of the President should be limited and there should be a clear cut, when he is

talking as the Head of State and Chairman of the party.

Com. Abubakar : Sawa...

Mr. Julius Matiguwany : Okay, frequent absence of our Mps in Parliament should desist. This is done by giving them

sitting allowance every day if they attend Parliament.

Com. Abubakar : Sawa...

52

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!