07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mr. Kennedy Nyakundi : Mimi najua ni kweli ni shida lakini nataka sisi tutatue yenyewe...

[inaudible]

Mr. Kennedy Nyakundi : Si ndio nataka kwamba wamama wenyewe hata hao wapatiwe nafasi, hata vijana hata hao

wapatiwe nafasi.

Ya pili education. Education nataka system ya zamani and it should be free.

Another thing is that unakuta ndio, tuko na taabu mingi, tunajua kwamba Kenya iko na, uchumi ni mbaya lakini tujaribu sisi

wenyewe tujitatulie wenyewe. Na kwa hivyo mimi najua hata kama tuna lia hakuna uchumi ni mbaya lakini wale wenye wali

fanya mambo ya ufadhili kuiba pesa wachukuliwe hatua kali.

[inaudible]

Mr. Kennedy Nyakundi : Kufungwa, hata ile mali wali iba warudishe ili hata sisi tujikokote. Kuliko kukaa tu idle... Ehe!

Haya basi tena ya pili yenye mimi naona, wenye hawafanyi kazi, wenye hawafanyi kazi ambao wame kaa... unaweza patia muda

ya... nataka Serikali yenye inakuja ione ya kwamba, muda tuna patia mtu muda, unaambiwa tume kupatia kazi, fanya muda kwa

miaka kumi utoke mwengine aingie.

Ya mwisho tena ni...

[inaudible]

Mr. Kennedy Nyakundi : Hapana, si niko na... Haya freedom of worship. Worship unaona kwamba kuna kiwango.

Tunataka kusema madini fulani, lakini dini ya mambo ya masheitani out. Devil worshippers out.

Com. Abubakar : Asante sana

Mr. Kennedy Nyakundi : Sawa

Com. Abubakar : Asante sana, Bwana nani Oluoch msaidie hapa. Asante sana Bwana Kennedy uende pale ujiandikishe

kwenye ile meza pale. Asante Kennedy. Sasa Bwana Philemon Kireni? Bwana Philemon Kireni? Karibu Bwana.

[inaudible] because of the list... kama unaweza kumuteremushia tena hiyo kidogo. Bwana Kireni subiri kidogo. Kaa tu

24

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!