07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ku-recognize the presence of Madam Do amefika, mwenzako alikua hapa tukampa nafasi asalimie watu hata wewe tunakupa

nafasi, usalimie watu tu kwa sababu sisi tuko kwako.

Do Miriam : Asante sana ningependa kusalimia watu wa Belgut wenye wako hapa na Sigowet, hamjambo? [inaudible]

asante sana.

Com. Abubakar : Asante sana Madam just for your information we are three Commissioners, we have Honourable

Mama Asiyo who has gone somewhere to have medical attention and we have the Chairman Mzee Pastor Ayonga and I am

called Abubakar Zein. Thank you.

Do Miriam : [inaudible]

Com. Abubakar : Asante sana Madam Miriam. Sasa nina ita, ile list ninayo kwenye mkono ni ya mwisho kuna list ingine

hapo? Ni lete hiyo list tafadhali? Nimekuita Mzee? Hiyo line nime tengea wale watu naita. Kama ni kiti vuta kiti kimoja

nyuma uchukue ukae nyuma. Vuta nyuma, nyuma hapo. Nipe hiyo list. Sasa kulingana na list zetu nina majina ya watu ambao

ndio we mwisho kuji andikisha na wanataka ku zungumza nataka niwaite wote wakae hapa tufanye kazi hii iwe rahisi. Jeremiah

Misich yuko hapa? Jeremiah? Mzee wangu uje mbele kabisa were ndio uta kua wa kwanza. William Boit? William Boit?

Keti hapa Mzee. William Boit? William Boit hayuko. Francis Cheruiyot? uko? Keti hapa mbele Mzee. Alfred Mitet?

Alfred Mitet? karibu ukae pale Mzee. Benjamin Tonui? Benjamin Tonui? Ahaa hivo viti vimetosha sitaki zaidi ya hizo.

Namna hiyo basi tosha, tosha. Benjamin Tonui ndio Mzee ukae pale. Joseph Samoi? Joseph Samoi? Ukae hapo mbele

Mzee wangu. Zacharia Maritim? Zacharia Maritim? Bwana Zacharia uko? Bwana Zacharia hayuko. Francis A. Soi? Ukae

hapo Mzee. Joseph Rono? Joseph Rono? Richard Koech? Richard Koech? Uje hapo mbele ukae karibu hapo. Zackayo

Rono? Zackayo Rono? Uko Mzee? Uje karibu na Isaac Ruto? Isaac Ruto? Uko? Isaac Ruto ukae kiti cha.. wacha Mzee

akae hapo... Wewe ndio Isaac Ruto sio? Wewe ndio Isaac Ruto kijana? Sawa. Munaenda kwa line hivyo. Hawa ndio watu

wa mwisho kujiandikisha. Kuna mtu yeyote, kuna mkenya yeyote ambaye alikuja leo kutoa maoni yake na hakutajwa jina

lake? Wazee naomba munyamaze kidogo. Hii ni tangazo muhimu. Nita rudia mara ya pili. Mzee, nauliza hivi, je! kuna

mkenya yeyote ambaye alikuja kutoa maoni yake na hakupatiwa nafasi? Is there any Kenyan who came to give his views and

he has not been called or has not been given an opportunity to be heard? Apart from the one nimewaweka hapa mbele? Kuna

mwengine yeyote. Kwa hivyo mume shuhudia ya kwamba tu... wewe ndio hujafika? Njoo! Mzee! Mzee! Mzee! Mzee

wachasiasa huko kuja hapa. Wewe umesema unataka kutoa maoni? Na haukujiandikisha? Kuja ukae hapa. Kuna mwingine

yeyote? Hakuna. Huyu ndio ata kua wa mwisho. Njoo Mzee. Haya anza Mzee.

Speaker : Ane amache ang’alalen kutit.

Com. Abubakar : Yule mtu wa kutafsiri [inaudible] shika hii microphone hapa, nauanze na majina yako.

88

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!