07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Speaker : Hapa tunataka kuanzisha mkutano wetu. [inaudible] Tafadhali muchukuwe viti tunataka kuanza mkutano.

Na wale wanafunzi muliotaka kutoa maoni tunataka muje. Tafadhali wale ambao mumesimama kule muje muchukuwe viti

tunataka kuanza. Wale mumesimama tunataka kuona mumeketi ili tuanze [inaudible] naam... [inaudible] tena huyo ametoa

hii, sasa... [inaudible] sasa... Mama usitafute [inaudible] mimi nakuonya tu... [inaudible]. Oh... Oh... Wewe siunazikiza

tuna-record-iwa pale... Oh... lakini nilikuwa ninatoa maonyo. Maonyo hapana kitu mbaya, kama natoa matusi ni ndiye kitu

mbaya, iwe-recorded. Nadhani ungetukaribisha natuanze [inaudible] tena kuna ingine [inaudible].

Caroline Lang’at : Okay tutaanza mkutano.

Speaker[s] : Unaona haisemi sana, niwewe husemi.

Caroline Lang’at : Okay tutaanza mkutano sasa na kabla hatuja endelea nitamuita Pastor Keter akuje atuongoze kwa

maombi. Karibu Pastor Keter.

Speaker : Mpaka uiwashe hiyo, weka-on, rudisha juu

Pastor Keter : Natuombe. Tuombe. Baba katika jina la Yesu Kristo tunakushukuru tena asubuhi ya leo, na nikwa

mapenzi yako, asante kwa ulinzi wako, asante kwa maisha ambayo tunayo wakati kama huu Baba tunapo anza huu mkutano

wa leo. Tunakushukuru Mungu tunapo [inaudible] kutoa maoni mbali mbali kuhusu sheria za nchi yetu. Tunaomba Mungu

utuogoze kwa kila njia tunaposema tunapo-record-i, na tunapotoa maoni kwa kila njia, tunasema Mungu uwe pamoja nasi kwa

sababu yale yote ambayo tutakayosema yana toka kwako. Mungu tunakushukuru kwa ma-commissioners ambao wamewasili

hapa, nasema uwaongoze na uwasaidie kwa kila jambo. Na kwa wale ambao wamekusanya siku hii, iwe siku hii, katika

sehemu hii, tunasema Mungu uwasaidie pia. Tunakabidhi kila jambo mikononi mwako tunapo anza, hadi mwisho na ninaomba

nikiamini katika jina safi ya Yesu Kristo. Amen.

Caroline Lang’at : Okay asante Pastor Keter. Kwa wale ambao wamefika nadhani nyote mume-register majina yenu

kwa hiyo desk ilio pale kando. Aliye pale anaitwa Patricia Maritim. Atakuwa aki-register all the participants’ wanao kuja

katika hii mkutano. Kwa majina naitwa Caroline Lang’at District Co-Ordinator Kericho District. Asante, nitarudishia

Commissioners halafu wataendelea na programme.

Speaker : Unaskia

Com. Ayonga : Hamjambo. Kwa niaba ya Commissioners wenzangu ambao tuko hapa mbele nataka kumu ita Chief wa

area hii aje atukaribishe hapa kwake ndipo nita waambia tunafanya aje.

3

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!