07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mr. Daniel Mutai : Again is this Government kama kuandikishwa, kwa jeshi kila mahali. so it should be looked and

shared...

Com. Abubakar : Unataka watu wakiajiriwa kwa Majeshi, Polisi waandikishiwe wapi? Location?

Mr. Daniel Mutai : Not even Location in every District should be..

Com. Abubakar : Waajiriwe sawa sawa

Mr. Daniel Mutai : Sawa sawa sio kupendelea upande ingine.

Com. Abubakar : Sawa. Asante sana.

Mr. Daniel Mutai : So that is...

Com. Abubakar : Asante sana, lakini uende pale juu kwa yule Bwana pale mwenye shirt ya blue ujiandikishe pale. Sasa

namuita Bwana Henry K. Mariset? Karibu Mzee.

Mr. Henry K. Mariset : Mimi ni Henry Mariset kwa vile niko hapa sasa tunaweza sema ya kwamba nina hitaji Serikali

ya majimbo.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Henry K. Mariset : Vile vile Prime Minister awe na Serikali yetu.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Henry K. Mariset : Ingine ni mipaka ya kutoka Province yeyote, mipaka ya kila Province ikae vile inavyowezekana

na watu wao.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Henry K. Mariset : Vile vile nina hitaji Tribunal Courts vile kama zamani ilivyo onekana mbeleni.

Com. Abubakar : Sawa.

82

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!