07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Com. Abubakar : Ahaa!

Mr. Francis Cheruiyot : School...

Com. Abubakar : Ngoja, ngoja nakupa point mbili ya mwisho.

Mr. Francis Cheruiyot : Ingine ni Courts tunataka Constituency Courts.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Hapana taka kuenda pahali mbali na watu iko hapo.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Kama zamani.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : Schools na dispensaries apate free medical na fees.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Francis Cheruiyot : The Mp’s nataka utafute njia ya ku..

Com. Abubakar : Ya mwisho hiyo...

Mr. Francis Cheruiyot : Ehe! Mp’s tunataka iondolewe kama hawezi attend meetings yao kila mara naweza fanya

ujanja ujanja

Com. Abubakar : Sawa

Mr. Francis Cheruiyot : That he avoids, na tena, haya kwisha hiyo. Itafute wakati ya kuondoa wakati amekaa bila ya

kufanya kazi.

93

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!