07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Mr. Henry K. Mariset : Na ingine ni tulikua tukiona Serikali yetu ili kua ya [?] mbeleni tulikua na matibabu ya bure.

Hatuoni sasa inaendelea namna gani.

Com. Abubakar : Unataka je?

Mr. Henry K. Mariset : Na hitaji matibabu ya bure.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Henry K. Mariset : Vile vile shule tulikua tukiona ya kwamba...

Com. Abubakar : Unataka je?

Mr. Henry K. Mariset : Nataka Primary iwe free education.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Henry K. Mariset : Na ya mwisho wakati wa kuandikisha watu, watoto wa, au watu wa Army, Police iwe

inawakilishwa kwa kila District kila mahali vile inatakikana, sio kwa njia ya kipande kipande hivi.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Henry K. Mariset : Asante. Mzee uende pale juu ujiandikishe, sasa namuita Bwana Alfred Kosgei?

Mr. Alfred Kosgei : Thank you Bwana commissioners my names are Alfred Kosgei. Nime unga mkono yule mtu

ambaye amesema ya kwamba Federal Government iwe, iwepo.

Na pia mipaka za kila Province iwepo vile ilikuweko mbeleni.

Na pia kile kitu ambaye ningetaka kusema pia hapa ni ya kwamba wasichana wasi tairishwe wa baki tu. Kwa sababu ku

tairisha ni kupoteza wakati na resources.

Ya pili ama ya tatu sheria ya mtu ambaye ameiba mali ya Serikali ifanyiwe arudishe hiyo mali ya Serikali yote, ile aliiba. Hata

kama alinunua gari hiyo gari iuzwe kwa State ile pesa ibaki kwa irudi kwa State sababu, sababu, ni sawa sawa.

83

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!