07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

ingekua ni tafauti term ya President inge kua independent na ile ya Parliament na sheria zetu inaweza ikatengenezwa iwe hivyo.

Jambo lingine ambao pengine limetajwa ni wakati huu tunaelekea vile nina onelea ni inahitajika President apate 50% ya votes

zote na vile ndio pengine itahitaji kama kuna watu wengi wana i ng’ang’ania hiyo kitu cha urais pengine tuwe na run-off kwa

wale ambao au turudie kwa walili wako mbele hiyo ndio vile vile nime taka katika mambo ya ukabila na nini na nini ita fikia

wakati ambao hakuna kabila inaweza ika pata 30% na achukue President peke yao. Mpaka waungane au wake pamoja na

wakenya wengine ndio waweze kuifikia hiyo ndio na sema inge hitajika iwe na 50% minimum 51%, 50.whatever% kwa

Provinces badala ya kusema 25% kwa hii au lile inasema nusu za provinces au regions kama tuta kua na regions at least half

kama tuko nne at least half lazima ifike 50% vile vile. Again term ya President vile naionelea iwe ni ya miaka mitano vile wakati

iko kwa Katiba na iwe ni two terms vile vile isizidi terms hizo mbili. Kwa maoni yangu vile vile, vile nimesema ku-cross au tuwe

na ile ilio nzuri katika Katiba ya America vile tunaijua tuna tumia America kama example tu kwa sababu kuna nchi zingine

ambao wako na Katiba kama ya America lakini America ndio pengine inajulikana kwetu sana. Vile vile uingereza kuna vile vile

ya ufaransa. Lakini vile na onelea kwa upande wa Parliament tunge kua na kitu kama ile ya uingereza, ambao wako na Prime

Minister na Prime Minister uwe ina tokea ile chama ambao kime win elections to the majority of seats katika assembly wetu.

Prime Minister itakua ingaa tuko na President na Prime Minister awe na powers ambaye ita kua specific kwa Constitution ndio

kusiwe na confusion katika powers ya President na Prime Minister. Na Prime Minister vile vile ndio ata appoint kwa maoni

yangu Ministers na Deputy Ministers kwa consultations au waki, consultations kwa kiswahili ni waki shirikiana, waki shauriana

na Rais vile vile Ministers vile ninaonelea katika Ministries wasiwe na zaidi ya assistants wawili. Na zile Assistants ningeionlea

iwe Deputy Ministers not Assistant Ministers. Na wawe Deputy Ministers ambao wana weza kusimamia kushika usuhukani

kama Minister hayuko kwa ofisini. Vile tunao sasa katika Katiba yetu au ni kama practice. Assistant Minister hawezi aka

shikilia Minister kwa mambo fulani kama Minister hayuko mpaka President ana appoint Minister ingine tutoka kwa wizara

ingine awe acting kwa Ministry hiyo, Assistant Ministers katika uwezo walioko katika Katiba yetu hawawezi kuishikia

usuhukani waziri ambao ame toka inje au ako safarini. Katiba yetu kama tunataka usimamizi nzuri katika Ministries, na watu

ambao wana elewa mambo ya hayo ministries waka simamia ni upande wa Ministries tuwe na Deputy Ministers ambao wata

simamia Ministers kwa kazi ya Ministries na attend Cabinet meetings on behalf of the Minister kama ni Deputy wakati huyo

Minister hayuko ndio nimesema waitwe Deputy Ministers badala ya Assistant Ministers. Na ikiwa Assistant Minister akiwa

sana sababu yake tume kua na shida shida fulani kuhusu hizo uwezo ya hiyo ofisi vile inakaa ingewekwa nguvu ndio tuka weza

kusaidiana vizuri na Ministers wetu. Na vile vile ndio nataja Deputy Ministers wawe na specific responsibilities na inatakiwa

ienda katika Katiba yetu kwa Ministries mpaka hata iki elekea mambo ya kuhusu Parliament na nini na nini wakihusika na

mambo, na mambo hayo. Kuna katika section ishirini ya Katiba yetu jambo kidogo ambayo ina sema ma Ministers, Assistant

Ministers au Vice-President kama wakitoka kutoka inje lazima waombe na wapewe ruhusa kwa barua na Rais tuliko sasa,

Ministers na Assistant Ministers huwezi ukatoka inje kama ni kazi ya Serikali, kama ni jambo ya kibinafsi huwezi ukatoka bila

kupata ruhusa ushughulike kwa nchi za ng’ambo, Minister hawezi akatoka na hii ime fanyika kwangu pengine mara mbili mara

tatu. Kuna Delegation inatakiwa ipelekwe inje lakini kwa sababu Rais hakuna kuweka sahihi kwa barua huwezi ukatoka. Na

Serikali yetu haiwezi ikawa represented kwa hayo mikutano na Minister au na Assistant Minister. Hiyo ni kama kazi ya Serikali

inakwama, na inakwama kwa jambo unaona pengine hakuna haja. Vile kwa sababu ya vile Serikali inaendeshwa kingehitajika

121

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!