07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Mr. Isaac arap Murubii : Mimi ni Isaac arap Murubii. Mtu ingine amesha zungumza juu kortini iwe ya karibu ile zamani

inaitwa tribunal.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Isaac arap Murubii : Nina kuja kwa division ilikuwa imeandikwa na mtu mwengine.

Ingine ni inatakiwa kwa hii Province nane boundaries yao iwe kamili, iwe kamili kwa sababu boundaries hapana mzuri iwe

kamili kwa hii Province nane.

Iko hapa neno ingine juu ya kuoa bibi. Kuoa bibi halafu nyinyi natengana kwa kiwetu hata bibi akienda miaka mia moja ita

kuwa yako. Lakini leo ninasema ni mzuri tukitengana miaka mbili tu basi kwisha yangu na kwenda kwao.

Com. Abubakar : Ngoja ni kuelewe.

Mr. Isaac arap Murubii : Eleza

Com. Abubakar : Unasema hivi bibi ya mtu akiondoka nyumbani akaenda kwingine ikifika miaka miwili asirudi tena.

Mr. Isaac arap Murubii : Ndio hiyo namna hiyo.

Com. Abubakar : Wale wana piga makofi ni watu ambao hawa kujua desturi yetu tulisema ukifurahia jambo furahia kwa

roho. Ukikasirika jambo kasirika kwa roho mpaka ifika zamu yako uje useme hapa.

Mr. Isaac arap Murubii : Hapana takiwa President atume Majeshi inje nchi za mbali bila Parliament kujua. Hapo tu

asante sana.

Com. Abubakar : Asante sana Mzee, tunamuita Bwana Zacharia Kimei? Mzee uende kujiandikisha kule nyuma Mzee,

pale kwenye ile meza yetu pale.

Mr. Zacharia Kimei : Asante sana Bwana Commissioners, majina yangu kamili ni Zacharia Kimei nina represent

Chemamul Ward mimi ni youth advocate. Maoni yangu machache ambaye ningependa…

Com. Abubakar : Naomba tuwe kimya kabisa, tulisema hapa ni kama kortini, hichi ni kikao rasmi cha Tume ya

74

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!