07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Abubakar : You must go and give us the Memorandum iwekwe kwa file yetu halafu u-sign ile kitabu kama umetoa

maoni. Asante sana Bwana Wekesa. And this goes for, I think I need to repeat this because a lot of people came late. We

allow both written memorandum and oral presentation. If you have a written memorandum you may choose to present the

written memorandum even without speaking and just go directly to that desk and sign in and give in the written memorandum.

Ukiwa na maandishi unaweza kwenda nayo pale bila hata kusema ukaandikisha pale ukatoa yale maandishi uka wacha. Njia

ya pili kutoa maandishi ni kusema unataka kugusia yalio muhimu katika maandishi yako ndio wengine wajue jambo ambalo

unalo pendekeza wewe. If you choose to present a summary of the memorandum you are allowed to pick only the important

points. We don’t allow people to read memorandums. Once you pick the important points you will give us the memorandum

and we will go and process it. Halafu watu wanao zungumza , kuzungumza kwa mazungumzo tu peke yake unakuja unasema

sina maandishi nataka kusema kwa mdomo peke yake, meaning that there is somebody who wants to make an oral submission.

We also want you to give us only important points. Naikiwa kuna watu wengine wamekuja mbele yako na wamesema kuhusu,

for example, wacha ni chagua jambo ambalo tumelisikia hivi karibuni. Kwamba wazee wa mitaa tunataka walipwe mishahara,

ukija ukianza kusema tena wewe na wazee wewe sema tu unaunga mkono wazee kulipwa mshahara basi. Halafu mbele watu

waendelee hivi. Ukiwa na jambo ambalo halija guswa na mtu yeyote hilo ndio ulianzie. Uanze na hilo ndio tuendelee namna

hiyo. Sasa napenda kumuita Bwana... Nilikuwa nataka niite majina mengi pia watu wajipange vile nilikua nataka. Mzee

nilikuwa nimekuita? Mzee wangu sasa hizo viti vya mbele nilikuwa nime ya tenga vya kutia watu halafu niwaweke hapo. Kuna

viti hapo nyuma rudi hapo nyuma Mzee wangu. Nimekuita jina nani? Sasa ndio nataka kuanza hiyo list mpya. Kama uko

sawa njoo huku mbele. Njoo huku mbele kabisa kama ni jina lako. Wewe ndio Joseph Siele. Usubiri kidogo Mzee wangu.

Paul Koskei? Paul Koskei? Uko hapo songea hapo mbele, Isaac A. Murubii? Isaac A. Murubii? Uje hapa Mzee wangu

hapa mbele. Zacharia Kimei? Zacharia Kimei? Uende pale naukae pale na wenzako. Paul Lang’at? Paul Lang’at? Uende

pale na Faith Chepkorir? Faith Chepkorrir? Faith kuja utafute kiti hapa karibu mbele hapa na huyu Bwana muzunguke pale

nyuma kidogo tu ndio tuwe karibu tuanze mara moja. Mzee wangu nafasi ni yako utaje jina uanze mambo.

Mr. Joseph Kibet Siele : Thank you very much my names are Joseph Kibet Siele I am presenting a memorandum on

participatory governance.

Com. Abubakar : Sawa.

Mr. Joseph Kibet Siele : and [inaudible]

Com. Abubakar : Sawa because you are giving us a memorandum highlight.

Mr. Joseph Kibet Siele : We know that the Civil Service are very important they play a little role in a participatory

governance and they are also involved in accountability and the Government is supposed to respond to them. They are also

71

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!