07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

Kwanza kitu nataka kuuliza maslahi ya watoto tuta weka wapi, kweli, watoto wameteseka miaka nenda miaka rudi. Kwanza

nataka watoto wapatiwe maslahi yao, wachungwe kwani tunaona watoto wanateseka, kwanza tunaweka kuona watoto kama

chokora. Chokora unawakuta hawajui wazazi ni nani, wazazi wao ni nani hasa. Wanataka wachungwe na Serikali.

Ya pili, tunapata kwamba hata vijana ambao wamemaliza shule hawana kazi ya kufanya, nataka Serikali yenyewe ichukue

hatua, kama ni lazima Serikali ione kama ni lazima wanafunzi ama watu wa vijana wako nyumbani wa lazimishwe kuenda katika

chuo fulani kuchukuwa maarifa ile waje kujitegemea. Unaweza kuta mtu amekaa barabarani hata watu wanashangaa, hakuna

kazi, ukiuliza wanaenda kuambiwa mbona unakaa unaona mpaka wengine wanaenda kunyua pombe wana kunyua madawa za

kuleviya...

Com. Abubakar : Sasa Kennedy hayo sisi tunayafahamu vile unajua wewe, ni mambo ambayo kweli yanasikitisha na

mambo ambayo yana wapa watu shida. Lakini unataka tufanye nini.

Mr. Kennedy Nyakundi : Ningetaka Serikali yenyewe ijaribu juu chini kutafutia hayo pahali ya kujificha ama kufanya kitu

ya maana.

Ya pili ni kuhusu walemavu. Unaweza pata mtu kama mimi hata yule, mimi ni afadhali kidogo naweza kutembea. Unaweza

kuta, ndio unaweza kuja ni mukute mkubwa naweza muambia nisaidie nita fanya nini. Ana kuambia hakuna, sasa uta kaa

mpaka lini. Unataka uombe msaada saa yote saa yote, hata nikikuja kwako saa yote saa yote ku kuomba msaada utasikia je...

[inaudible]

Mr. Kennedy Nyakundi : Kwa Katiba mimi nataka kama hata ni percentage fulani tupatiwe kazi, kazi. Ya pili tunataka

pia viwete wapatiwe nafasi kuwa viongozi hata katika Parliament hata kuwa Rais. Lakini unaweza kua una akili lakini mguu

hauna lakini unaweza fanya kitu yenye hata mwenye anao mguu hawezi fanya.

Ya tatu tena unaona wamama wanateseka wenyewe. Nime kaa, mimi na vumilia kweli naangalia wamama wako na taabu.

Ukiangalia mama ndio ana fanya kazi...

[inaudible]

Mr. Kennedy Nyakundi : Wakina mama wanataka pia hao wapatiwe haki yao..

[inaudible]

23

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!