12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
Create successful ePaper yourself
Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.
Translator : Ikuwe ni uhuru kwa matatizo yao yote na kila kitu.

Mr. Kipsoi arap Chumo : President ne kindo anan ne rubuge

Translator : Vile mtu ambaye atakuwa President au yule ambayo atafuata yule ambaye iko sasa.

Mr. Kipsoi arap Chumo : koibe boisienyin kot koit let, mamiten ne kelenen kakile kakotilak raini.

Translator : Atafanya kazi yake mpaka mwisho na hakuna mtu atasema ime tosha.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Isto kityo kura.

Translator : Kura ndio itamutoa.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Mache bikab Kalenjin komugul katyaknatet nebo saet kou ole komi.

Translator : Watu wa Kalenjin pahali wako wanataka uhuru ya maombi.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Ago nyolu kityach dinit age tuguk koboige en boisionik che yoe, ole soito.

Translator : Na kila dini atapewa uhuru ya kufanya kazi yake vile anapenda.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Ta komotwoe serkali.

Translator : Bora wasiguse maneno ya Serikali

Mr. Kipsoi arap Chumo : Mwae bikap nyot kole

Translator : Wazee ya nyuth? wanasema hivi.

Mr. Kipsoi arap Chumo : kimoche serkalitab majimbo kou yeu en emotinwek alak.

Translator : Tunataka Serikali ya majimbo kama vile iko kwa nchi zingine.

Mr. Kipsoi arap Chumo : Mwoe bikab nyot kole

56