07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

Com. Ayonga : Kuja hapa.

Com. Abubakar : Mtu wa kwanza aje hapa kwa kiti cha mbele kabisa kuja huku chini. Kuja huku chini akifuatiwa na

Mwangi Ng’eno, Rono, Wilson, Joel, Dina, Francis, Jonathan awe wa mwisho. Sasa nita sikia mara ya mwisho na register

nimefunga. Je! maanake [inaudible]. Je! kuna mkenya yeyote aliekua akitaka kuzungumza na hakupata nafasi. Isipokuwa

hawa walio kaa hapa. Hata nyinyi mume chelewa si unaona nime rudia hilo swali tena. Wewe Mzee ulikuwa wapi? Ahaa huyo

anakaa karibu na wewe, ulikuwa wapi ndugu, na ume jiandikisha. Hakuna ku-escape. Nimesha ita majina mara mbili mbili,

ulikua wapi. Haya na Narudia mara ya mwisho. Kuna mkenya yeyote ambaye alikuja kutoa maoni yake hapa na haja toa na

anataka kutoa. [inaudible]. Ngoja, ngoja Mzee mimi nasema aliekuja na maoni yake na, sitaki urudi na maoni uliyo kuja

nayo. Halafu unatupa.

Speaker : Hallo.

Com. Abubakar : Kuna, nauliza tena kuna mkenya yeyote ambaye alikuja na maoni yake na haja pata nafasi. Mzee

unasema una neno moja neno hilo lisha semwa [inaudible] haya basi enda ukae pale. Sasa sisi tulikua tuna sema mambo

ambayo yametajwa mtu asirudie sasa nyinyi mumekuja sasa hizi hata, mutajua ni gani yametajwa na gani haya kutajwa. Nitakua

na mpa mtu fursa aseme manake mumekuja saa ni wape rules. Ukiwa una written memorandum unaweza hata kutoa saa hii

pale kwa desk bila kuzungumza au ukiwa una written memorandum unataka kuzungumza we allow only you to give highlights

not to read the memorandum to us. Na ikiwa huna memorandum unataka kuzungumza kwa kauli yako unatupatia points, sijui

kama mumefahamu ni sawa. Anza Mzee utaje jina, unataja jina because we are recording the session. Unataja jina halafu

unaendelea. Ngoja, ngoja, ngoja. Wewe pia umekuja mgeni sio. Tulikua tunasema hivi kwamba unaweza sema kiswahili,

kingereza ama Kipsigis. Ikiwa unajua kiswahili au kingereza huna haja kuzungumza Kipsigis. Kwa sababu kiasi mtu a-translate

unachukua time ya watu wawili sasa wewe unataka kuzungumza Kipsigis. Haya, na uta kua very short. [inaudible] Utaje jina

lako mara moja.

Mr. Moses Ruto : Kainenyun ko…

Com. Abubakar : Inafanya Bwana.

Mr. Moses Ruto : Umeandika jina langu Moses Ruto.

Com. Abubakar : Sawa endelea.

108

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!