12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
12TH JULY 2002 - ConstitutionNet
You also want an ePaper? Increase the reach of your titles
YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.
Hiyo ndio maoni yangu asante sana.

Com. Abubakar : Asante sana Bwana Kitur. Huyu kijana ata pokea hiyo uruditu pale ulikuwa umekaa ukae Bwana

Ndirangu atakuletea ile register using pale pale. Kwa hivyo Bwana Kitur, Bwana Kitur subiri kuna swali kutoka kwa

Commissioner pole.

Com. Asiyo : Ningependa kukuuliza Bwana Kitur kama una maoni yeyote ambayo ungependa tuaandike kwa Katiba iwe

ya wale wasiojiweza?

Mr. Peter Kipkoech Kitur : Nilitoa Disabled people: Should be given free funds...

Com. Asiyo : Okay, okay. Thank you.

Com. Abubakar : Asante sana Bwana

Mr. Peter Kipkoech Kitur : ...and free education and give the money for health.

Com. Abubakar : Asante sana Bwana Kitur. Uruditu pale ulikuwa umekaa, sasa Bwana Ndirangu atakuletea maandishi

pale. Sawa. Nadhani hiyo list imeisha. Tunaenda kwa ya... Bwana Joseph Mabwae? Si alikuwa amezungumza Bwana

Mabwae? Haya huyu ni mwingine Bwana Joseph Mabwae? [inaudible] Najua. Catherine Chumo? Catherine Chumo?

Fredrick Metet? [inaudible] Ku-arrange nini Mzee? Ku-arrange nini? Oh! niwewe uki rudi basi inua mkono basi halafu nita

kuona. Wewe unaitwa nani Mzee? Ukifika, uki rudi ukiwa tayari nifanyie hivi nita kuona. Haya Mzee. John Maiwa? Sawa.

Benjamin Ngetich? Benjamin Ngetich? Karibu Mzee, karibu Mzee. Utaje jina uendelee.

Mr. Benjamin Ngetich : Asante sana sijui nitafaulu kiswahili. [inaudible] Natosha? Asante sana nime fika hapa sijui

nitafaulu kwa kiswahili kwa sababu kiswahili yangu ni ile ya zamani ya wazee ya zamani. Lakini nita jaribu. Asante sana kwa

maoni ya Katiba mimi naitwa Benjamin Ngetich natoka Shikawe? Division yetu hapa chini mpaka Chemabul? yote namna

hiyo. Na mimi Mzee ya health ya Kipsigis. Maoni yangu ni hii.

Na taka ya kwamba Katiba kweli tunataka iwe sasa, mimi na zungumza mambo ya Kanisa ipate uhuru, kila kanisa ya kila mtu

apate uhuru. Kama watu wanapata saa ya kuabudu watoto wasiruhusiwe kutoka kuja kukimbia kimbia, natakiwa aombe

sababu inatakikana namna hiyo. Uhuru inatakiwa kila kanisa afuate sheria yao. Afuate sheria kama watu wa Jumapili, afuate

sheria ya Jumapili ku swali bila kuja kukugusa na watu ambaye wana pumzika Ijumaa ama Jumamosi tena apumzike ya kutosha.

Sababu hapana kuja kuruhusia watoto shule amuruhisie kuja kimbia kimbia hapana kupumzika siku ya Sabato au siku ya

Jumapili watu ili anipe mamlaka ile watu kuabudu Mungu.

19