07.12.2012 Views

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

12TH JULY 2002 - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

kabisa niki muita mtu anakuja kabla sija mkata.

Mr. Charles Kilel : Yangu ni machache ningependa kutoa maoni yangu kuhusu [inaudible] kwa majina yangu naitwa

Charles Kilel. Yangu ni machache ningependa kutoa maoni yangu kuhusu Serikali ya majimbo, ningependa Serikali ya

majimbo.

Kuhusu Chiefs Act ibaki vile ilivyo sasa na wananchi wachague ma-Chiefs.

Jambo lingine kuhusu mashamba, tumeona kuna watu wengine wako na mashamba makubwa na wengine hawana hata kabisa.

Sasa tungependa Serikali watoe hata nini ama sheria, yaani pahali hawa watu wenye wako na mashamba makubwa

wagawanyie wenye hawana kabisa.

Halafu lingine ni free education. Na lingine sasa ni free education free health services and accessibility Serikali ya ingie kabisa

mpaka machinani?

Com. Abubakar : Asante sana Bwana Charles Kilel.

Speaker[s] : [inaudible] Hallo

Com. Abubakar : Yeah! Zote za fanya sasa.

Speaker[s] : Wacha tutumie hii basi.

Com. Abubakar : Unataka tutumie pale hii.

Speaker[s] : Hallo, hallo, hallo

Com. Abubakar : Hii ndio ina sauti kubwa. Namuita Jane Kipkoech? Dada karibu. Kwa wale watu wanaofika sasa

kuna yule Binti pale anaandikisha watu majina ukiwa unataka kuzungumza uende pale ujiandikishe.

Ms. Jane Kipkoech : Maoni yangu ni kuhusu Katiba ninge furahiya kuna wamama waetima wenye wame wachwa na

wazee wao na hawana makao mahali wenye wanakaa, kwa hivyo hata kusomesha watoto wao ni shida sana maana hana

usaidizi yeyote yenye anaweza kusaidiwa. Sasa ningeomba Serikali ione wale wamama wenye hawana wazee yao wapate

usaidizi.

43

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!