10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

100Kwa hivyo kama umeanza transparency kutoka mwanzo utaendelea na hiyo transparency hiyo itahakikishia yakwamba leo hii wengine wanaenda kwa ofisi wakijua ya kwamba mimi nimeletwa na ndugu yangu na nimeletwahapa kupora. Leo niko hapa kesho sijui nini itafanyika ni pore iwezekanavyo. Kwa hivyo tungependa kuona yakwamba hizi vetting imefanyika na imehakikishiwa ya kwamba kila mtu ambaye anafanya hizo kazi ni mtu ambayeanaweza pia.Pia ningepende tu kusema ya kwamba katika sheria mpya lazima tuwe na Federal Government, lazima tuwe naMajimbo ambaye itafanya sisi tupate kujua vile tutafanya. Leo hii ningependa kusema ya kwamba sisi wananchiwa hapa tume furahishwa na sana wakati Pc wa North Eastern amekuwa Msomali. Kwa miaka thelathini-na-tanoau tisa North Eastern gari haiwezi kuenda bila security, bila escort, lakini wakati kijana wa hapa hapa alipokujahiyo maneno ilipotea. Pia katika Federal System ambayo tunataka, sitaki kumpiga rafiki yangu na ni mzee nduguyangu kama Shariff Nassir, ile Majimbo tunataka si ya majimbo ya kuondoa kabila fulani katika nchi fulani auwilaya fulani, lakini tunataka majimbo ya kuona ya kwamba resource ya pahali fulani ameweza kupatwa na watu wahapo peke yake. Na tuone ya kwamba resource ya nchi nzima inaweza kugawa ili watu waweze kupata pia.Kwa hayo machache ningependa kuwashukuru na ningependa kusema asante kwa kuja mjisikie mko nyumbani.Asanteni.Com. Lethome : Hebu niko na swali kidogo ningetaka ufafanuzi mheshimiwa, kuhusu majimbo ambayoumetaja. Juzi tumesikia habari ya majimbo Bodogashen na leo pia tumesikia habari ya majimbo, lakini watu wasehemu hii wanasema isiwe ni majimbo ambayo ni Eastern Province. Ningependa pendekezo lako kwanza, swalila kwanza, ungependa Jimbo hili liwe katika daraja gani? Daraja ya mkoa au daraja ya wilaya, ama vipi? Halafu piaungependa Jimbo hili litawaliwe vipi? Na litahusikanaje na hiyo Serikali ya kati. Asante.Hon. Abdulahi Wako : Asante sana Bwana <strong>Commission</strong>er, yangu ni kusema ya kwamba vile ulivyo semakama tutakuwa na Jimbo lazima iwe ni Jimbo ambalo litakuwa kama zamani ya Nfd. Sisi tumetolewa kwa ufugajipamoja wengine wametupwa Rift Valley wengine wametupwa North Eastern sisi wengine tumepelekwa katikaEastern Province hii ilikuwa ni mambo ya divide and rule. Ingekuwa ni bora kabisa kama sisi ambao tuko nalikeness kama pastoralism tuweze kuwekwa pamoja. Na ingekuwa ni provinces na kila province iwe na parliamentyake au majimbo yake ambaye wana weza kuzungumza mambo yao. Na kila province iwe na sheria yake. Kamatuseme sisi hapa tungesema ya kwamba kama mtu anauwa mwengine fine iwe ng’ombe mia moja sioni kwaninihuyu mtu atauwawa au atakua kwa jela miaka kumi-na-tano au nini hii ingekuwa ni bora kuliko kufanya hivyo.Pia tunge kuwa na Provinces ambazo zinawakilisha watu na inahakikisha ya kwamba kama ni elimu, kama ni

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!