10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

86tunaambiwa Meru Park ni yetu lakini hakuna compensation tunapata. Mnyama leo if, I don’t have, ni vilenimesahau, around sixty people wameuliwa na wanyama wa pori lakini hakuna yule amepata compensation lakiniukienda hata uuwa hata mnyama mdogo sana unauwawa ama unafungua kumaanisha kwamba mnyama ana rightkuliko binadamu “taakhuma yaa daaggetanii waan akhaasii khaa binnensii duufee haaqii naam irr qaabb, yaadaaggetanii, ammaa taan aargguu maale siillaa wonnii suun? That is contrary to all the rights in the world. Say thehuman rights in the world. Nobody could have accepted that. Life of human being and livestock and live ofwildlife is not comparable. This Government is now valuing wild animals than human beings and the only casewhich happens to Borana hakuna kabila ingine imekabiliwa na shida kama hii.Pastoral land should be owned by the community and should be controlled and managed by the electedcommunity elders. Our lives should be respected valued than the life of wild animals, and the wild animals I’mtalking of belong to us not to the <strong>Kenya</strong> Wildlife Service. The Wild animals belong to us the Boranas becausewe have been given these wild by “Suubanah Waatalah” ni Mungu ametupatia hayo wanyama. Tuna hakiku-complain hao wanyama wa Meru National Park yote tupate. Now we want in the next constitution MeruNational Park to be, if possible be returned to us. Hiyo ardhi itolewe hiyo fence yote wanyama iwe CommunityNational Reserve.Exploitation of our resources should be ignored in the constitution unless by the community themselves. Sisituna uchungu sana na mambo ya mineral resources. Ukienda kufanya kazi pale Duse leo ukifika pale kwa mine.Unapata bahati tu unapiga jiwe moja ya shilingi maybe elfu hamsini hivi lakini mhindi sa hizi ana ziokota kwamagunia na wale ambayo wameajiriwa kazi pale wanalipwa shilingi elfu-mbili-mia-tano kwa mwezi. Can youimagine somebody collecting a stone costing a hundred thousand, five hundred thousand and then his is told thathis allowance per day is eighty shillings per day. Do you believe that. Surely, otherwise we want a change andthe next constitution we want no exploitation of our resources. No expliotation of our resources in smpleterms. Unless under maybe clear negotiation from the community unless done by the community themselves.“Naamuu gaaluu jiirtii dhuubbin tuun”.Our livestock should get uniform marketing boards as coffee, tea and the rest. Sisi wa nyama wetu hawana soko.Tunafaa kupata soko ya ng’ombe kama vile watu ambayo wanapanda majani chai, kahawa wanapata. Lakini sisitumesukumwa zaidi. Hatupati hata Kmc ile ilikuwa imefungwa. It is not there anymore. Now we want somethinglike marketing boards like Kmc to be established in our land. Tunataka iwekwe ndani ya regions yetu na ifpossible the Government should look for market our livestock even if overseas. Hata mpaka nje. Kwa sababujust recently in Somalia watu walikuwa wanapata, Wasomali walikuwa wanapakia ng’ombe wanapeleka mpakaoutside. Wanapeleka ng’ombe wanaenda kuuza ng’ombe moja elfu-mia-moja London. Na sisi tunauza ng’ombehio hio hapa hivi Meru elfu-tisa, elfu-kumi. Unaona?

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!