10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

81mimi naona inaitwa Meru National Park, sababu pande yetu pia iko ndani. Sasa imeitwa Meru Park. Hii si MeruPark hii ni National Park. Si ya mtu moja. Hata hiyo jina ni makosa. Kwetu huko Watharaka wako Wameru waupande hii wako, hii ni kitu inafaa kuwekwa kitu general ya watu wote.Sasa kuna wanyama wa pori wako. Ukienda kwa Tharaka mshale hakuna wanyama huko, ukienda upande mwinginehakuna. Kwetu lakini utakuta hata karibu na nyumba, kwa sababu sisi hatuna ubaya na wanyama. Tunahifadhi hatatangu zamani tunahifadhi. Ndio sababu zimekutwa kwetu. Park iko, kwetu hata kwa mashamba ziko. Kwa hivyotunataka… hiyo ni mali yetu ya asili. Ni bahati yetu tumebarikiwa. Hata sisi tumebarikiwa tusiwamalize kwahivyo itusaidie. Katiba mpya iangalie hiyo ni mali yetu ni baraka yetu itusaidie mali yetu hiyo ya asili iwekwekatika utaratibu fulani ili tupate usaidizi.Asante.Com. Muigai :Kumbi Mambo? He is a blind man.Mzee Kumbi Mamo :Asalaam Aleykum! aann maaqqan kiiyy quumbi maamootTranslator :Mzee anasema jina yake ni Kumbi Mamo mkaaji wa Garbatula.Mzee Kumbi Mamo :Aanndhuubba waan mooni kiyya hiimaacuu feedTranslator :Anasema mimi nataka kutoa maoni yangu.Mzee Kumbi Mamo :Aan naaffi kiyy iillaalee inqaabbTranslator :Anasema mimi mnaniona mimi sina hata macho, ni kipofu.Mzee Kumbi Mamo :Hoorrillee inqaabbTranslator :Sina mali.Mzee Kumbi Mamo :Hirreelee inqaabbTranslator :Sina nguvu

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!