10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

104nyuma. Nataka kusema kwa Katiba ile itakayokuja tunataka tupewe nafasi ya kazi kushinda ama tuwe kiasi na walewalio mbele yetu. Nafasi ya Dc, nafasi ya Pc, ministers na balozi na national cake tupate kama Wakenya wengine.Sisi hapana iko nchi nyingine. Watoto wetu wanasoma hakuna pahali wanaenda wanarudi manyatta. Serikalikatika Katiba inayokuja itafute namna ya vijana na wasichana wetu wapate kazi sawa na wale wengine.Kwa vile sisi ni Waislamu, na vile wale wengine wamesema mbele yangu, sisi kwa maoni yangu napendekezaChief Kadhi awe sawa na Attorney General awe pamoja na daraja moja na Waislamu wa hukumiwe ndani ya kitabuya Koran. Kwa sababu mambo hiyo ambaye inaandikwa ndani ya Koran inatoka kwa mwenyezi Mungu nafikirikama <strong>Kenya</strong>tta angechukuwa hiyo hata ingekuwa bora. Hata waizi watakuwa wachache kwa sababu tunakata mkonoaki rudia tunakata mguu. Sasa mtu anaogopa hiyo. Kama angekuwa amechukuwa hiyo sheria mambo ya ufisadi,mambo ya wizi ingekuwa bora zaidi. Lakini mimi napendekeza ya kwamba katika sheria itakayokuja mambo yadini Kiislamu ichukuliwe makini sheria sisi Waislamu tu hukumiwe na sheria ya Kiislamu.Kwa hayo marefu na machache. Asante sana.Com. Muigai :Asante Councillor. Counsillor Boru Dida? Ni muda wetu una gidimia tafadhali jaribu ku…Mr. Boru Dida Ali : Wananchi watukufu <strong>Commission</strong>ers. Kwa ufupi ningependa kuchukuwa nafasi hii nakuarifu wananchi wawe tayari kutoa maoni yao kwa sababu leo ndio siku ya mwisho na leo ndio siku ya mwanzokatika jamhuri hii yetu ya <strong>Kenya</strong> sisi Waborana kupata fursa kutoa maoni yetu. Jina langu ni Boru Dida AliCouncillor Garbatula. Ningependa kutoa maoni yangu kama ifuatayo. Sitaki kupoteza wakati.Ya kwanza, mimi kwa maoni yangu nataka hii Serikali iwe ya Majimbo. Hiyo maoni tunakubali kwa sauti moja.Serikali ziwe ni za jimbo utawala uwe katika mkono wa wazee kupitia kila division au wanaweza kuwa na jukumuya mali zao na ulinzi ya kila kitu yao. Mathumuni yangu ya kutoa hiyo maoni wakati wizi wa ng’ombe unatokeakatika hii sehemu tunakimbia pamoja na askari, askari wengi yote wanakufa line ya kwanza na wale wenginewanarudi nyuma kwa sababu hawana interest hakuna kitu yao hapa. Ikiwa kitakuwa na Majimbo kila mojaatapigania nchi yake mali ya jamii yake itakuwa na nafasi ya kutetea kwa haki yake vile inastahili kwa sababu nimali ya jamii yake. Sababu hiyo ndio tunataka Jimbo.Na pia sisi tunalipa tax kwa Serikali ya <strong>Kenya</strong> kwa mnajili ya kulinda mali yetu na roho zetu. Na hiyo tax kwa sasamimi napendekeza ya kwamba kwa sababu hatupati ulinzi wa kutosha mali zetu zile zimeibiwa na zile zitaibiwakesho yote Serikali ipitishe sheria ya kulipa ridhaa. Mtu anakufa na mali ile inaibiwa na bandit, Serikali ziliperidhaa. Kwa nini Serikali italipa ridhaa sababu Serikali kuwa katika nchi ni kulinda wananchi na mali yao na hakiyao. Kama ime-fail ni negligence. Kwa hivyo Serikali ilipe mali zile zimeibiwa zote. Na wale wamekufa ilipe

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!