10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

52Translator :Anasema nchi yetu ambaye ilikuwa zamani ya malisho imechukuliwa na watu na Angaine.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Hiyo pahali inaitwa Darbachontupi? Ni Angaine amechukuwa.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :ikanyakuliwa.Anasema ni wakati ya shifta ile sisi tulitoroka kwaajili tulikuwa tunaogopa bunduki na nchi yetuMzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Ika fanywa national park leo ambaye mnaona pale Meru, Meru National Park.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Ile iliobaki naye Council ika nyakua.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Sisi watuwa Kinna tukabakishwa sisi nawanyama mandovu.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Usiku na mchana watu na mali wanakufaa, nduvu ina maliza na simba.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Hatuna haki.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Yeye anapendekeza Katiba ya <strong>Kenya</strong> iwekwe hii Katiba mpya ya kwamba, ndizi yetu moja

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!