10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

84independence, map of 1953 here with me. Hii map is a wide map it passes vile mnavyo jua it is an issaanheeggerri jaarroleen imbbetaani aardhaa khaanaa aardhaa heeggerri seerri kheen irr baauu.Mipaka yetu ukielekea Meru hii njia inaelekea Meru, iko mahali inaitwa ‘Kubicha pesa?’ uende sasa towards theeast inatoka ‘Kubbi Calfesa?’ inaenda mpaka ‘Cambitile?’ inapitia hiyo, inakuja ‘Malkamambiya?, inapitia ‘Goa/Gofo?,’ halafu ‘Gaalan Qalla’, hii wanaita ‘Katangachini?’, halafu mwisho yetu ‘Buuqe’ sasa, is a river nilarger ambayo upande hiyo ni ya Tharaka na upande hii ingine ni ya Borana. Sawa umenifahamu si ndio? Halafuinakuja moja kwa moja mpaka mwisho inainge hapa hivi kwa Tana River unakuja ‘Markakoticha?’ unakuja ‘Markagodhuba?’ Markawanaka?’ ‘Markahara?’ ‘Mermer?’ ‘Markakora?’ and then unakuja mpaka ‘Thaniel?’ Nowkutoka ‘Thaniel?’ iko njia main road. Ile njia main road ambayo inaelekea towards ‘Banane?’ ndio mpaka wetu.Sasa, right now kulingana na vile tuko sasa hii ardhi hatuna hata nusu yake.Tumekosa ‘I curse this Government’. I surely curse this Government of <strong>Kenya</strong> for grabbing our land.Tunashukuru Mola kwa kutupatia ardhi mzuri na ...[inaudible]... mzuri mzuri lakini tunalaumu sana hii Serikali ya<strong>Kenya</strong> kwa kutunyang’anya hii ardhi yetu. Hii Meru National Park unasikia ilikuwa inaitwa Kinna NationalReserve, before 1963 lakini we are marginalized. The state of emergency was applied to us such that we wereput into concentration camps and now in our absence, while we were in concentration camps the Governmenttook our land illegally. Angaine the then Minister of Lands is behind this issue. “Naamic Angaine, jeedankhaanatii khaa gaafas minister laafaa waan khaan akhaan toolc” Vile wanasema it was grabbed by himself becausehe was biased for his community, he was biased on us. Alikuwa anatetea ethnic community yake akachukua ardhiyetu.Now, we want our land, tunataka hiyo ardhi yetu ya Meru National Park iitwe Kinna National Reserve. Interest nacompensation zake zote ziwe zetu. You get me clear. Okay then there is this Isanadi Game Reserve with this oneI think we will sort it out later. We will talk about it later, but it is also illegally fenced. No Borana old man wasbehind the issue. Hakuna mzee wa Borana ame contact-iwa akaambiwa tunataka kukupatia hii ardhi, tunatakakutengea wanyama hakuna kitu kama hicho. Watu walituiba “Nuu haataan, laaf akhaadhabba nuu hataan ammale,nuu booranii siilla”, Saa hizi we could have been very far tungeenda mbali sana.Tena hii njaa tuko nayo leo tumeletewa na Serikali ya Kikuyu sisemi Serikali ya <strong>Kenya</strong> ni Serikali ya Kikuyuimetuletea kwa sababu wametuweka kwa concentration camps “Daabba” Wakatuweka, wakatunyang’anya mali yetuyote alafu wale wametoka out of Garba sasa wame toka out of… they have no livestock… walipoingia lakiniwalikuwa wana thousands of livestocks lakini walipotoka walitoka maskini hohehahe, hawana masomo wataendakufanya wapi. Wanaenda <strong>Kenya</strong> rungu. Wanaenda kufanya kazi ya watchman. Unachunga nyumba ya mtu usikumzima unapigwa na baridi bila kupata mshahara wa maana.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!