10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

45kidogo vile alisema, lakini natoa maoni yangu. Maoni yangu, sisi tumesikia wakati <strong>Kenya</strong> ilipata uhuru miakathelathini-na-tisa, tumesikia uhuru tu kwa mbali, lakini hatujawai kuona, watu wa sehemu hizi. Kwa hivyo wakatitumepata uhuru ndio sisi tumepata ukoloni. Shida tumeanza wakati huo mpaka sasa. Watu wengi wetu wameuliwana Serikali, wameuwawa na Serikali, watu wetu wengi wameuwawa na Serikali, watu wetu wengi wameuwawa naSerikali mpaka saa hii mazee kwa hivyo... kwa hivyo wacha ...[inaudible]... kwa hivyo wakati hii Katiba mpya hiitupate uhuru.Wakati wa mbele hatujapata. Wale walipata uhuru ndio hao sasa... hospitali, barabara imetengenezwa, kila mahali,shule, maji, ndio wamepata. Sisi sio wengine... <strong>Kenya</strong> Serikali, vile sisi tumezaliwa nchi hii, wacha tukae, wachawakae tu. Lakini hawana haja na sisi. Hakuna haja kidogo hata na sisi. Kwa sababu wanyama wa pori ndio wakohaki kuliko sisi. Wanyama w pori iko haki kuliko sisi. Kwa hivyo mimi nataka Katiba mpya yetu, upate haki yetu,tupate haki ya kibinadamu. Kwa hivyo watu wengi wamefariki najua kwa muko wa Serikali, hapa sisi tuna...hatutawuliwi na sheria... hakuna sheria, tuna tawaliwa na bunduki. Mtu anauliza kitambulisho anaweka bundukikwa mdomo. Unasikia. Mimi nikiharibu kitu, halafu nienda pahali fulani, ni toroke, mna kuja kwangu nyumbani.Wakikuja nyumbani, kama watoto, mama, wasichana, wazee... wale wako nyumbani, mtu anaye husu hiyo... shi...mme fanya. Yule mtu ametoroka, lakini wale walioko nyumbani, hawapati usalama. Hawa ndio wanateswa,nawekwa ndani, na nyanganywa, naporwa mali yao. Na hii Serikali ndio wanafanya hivyo. Hapa bunduki ndioinatumika sio sheria inatumika. Kwa hivyo tupate haki kama wakenya wengine. <strong>Kenya</strong>... sheria <strong>Kenya</strong> inasema,mtu akifanya makosa, muguse yeye ndio ana tafutiliwa, hata kama ni miaka kumi, yeye ndio anatafutwa. Lakinisasa hapa hakuna. Mtu mwenye makosa akitoroka, hiyo kabila ndio... mlango yake ndio imepatwa. Hiyo sasa...hiyo tafadhali iongezwe katika Katiba mpya. ‘Asalaam Aleykum, Warahmatulah Wabarakatu’.Com. Muigai :yale tumesikia, tumeandika chini.Asante sana. Mohammed Guyo. Mohammed Guyo dakika tatu tafadhali. Na usirudie sanaMr. Mohammed Guyo :mapendekezo, moja, mbili, tatu hivi. Ya kwanza...Asalaam Aleykum, mimi kwa jina naitwa Mohammed Guyo. Nita toaCom. Muigai :You know we have only done...Mr. Mohammed Guyo : Nitatoa mapendekezo kuhusu mifugo. Sisi hapa, uchumi wetu unategemea mifugo,hatuna mashamba makubwa, hatuna mashamba ya kahawa, ya majani, ya kupeleka factory. Lakini ile kitu tukonayo ni mifugo. Na hii mifugo yetu kuuza inakuwa shida sana, kwa hivyo kila mara kuna kitu kina itwa permit, la...mpaka tupate hiyo permit, haya... sheria haiwezi kuturuhusu kupeleka mifugo yetu mahali tunataka. Na hiyopermit, hii area yetu inaitwa Cdpp area, iko kitu inaitwa quarantine, kila miaka Cdpp hiyo area, hatupatiwi hiyo

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!