10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

139development projects.Com. Lethome :1 minute Daktari.Dr. Adhan Dege Guracha : Okay. Kuhusu chiefs. Ikiwezekana Provincial Administration iwe abolished.Lakini kama haitakuwa abolished chief awe not below form four D + . This is my recommendation. KuhusuGovernment ministries ningependekeza ya kwamba ministries ziwe de-centralized, if we de-centralize thiseconomic distribution will also come in. Kuhusu mtindo wa kiserikali mimi recommendation yangu ni kuwe naRegional Government. Nafikiri mengi yamesemwa juu ya Regional Government.Kuhusu mambo ya Id’s Birth Certificates and Passports. My recommendation is Id cards iwe issuedcontinuously. Birth Certificates iwe issued at district and divisional levels. Passports iwe issued at districtlevel. I am one of the victims I had to run after a passport for eleven months with all costs.Kuhusu inheritance my recommendation is the Islamic system of inheritance be enshrined in the <strong>Constitution</strong>.Hatungelipenda mambo iwe kama 1980 wakati ambapo hoja ilipitishwa Katiba bunge sisi turithi vile Wakristowanarithi wenzao. Islamic education should be taught in all schools upto University level that is myrecommendation.Education for all children should be made mandatory. Free education should be enshrined in this <strong>Constitution</strong>.Hapa nitawaunga kina mama mkono. Kuhusu wasichana wale wanatolewa kwa shule wakaolewa. Mimininge-recommend hiyo ihalalishwe. Na kama mtu amepatikana ametoa msichana wa shule na akaoza mtu, stiffpenalties be enshrined in this current <strong>Constitution</strong>. Pia kwa yule baba na kwa yule mtu anataka kuoa.Kuhusu Kadhi’s Court. Mimi na-recommend hivi. Kuwe na District Kadhi’s Court, Kadhi’s High Court na kuwena Kadhi’s Court of Appeal. Kwa sababu ukifika Court of Appeal yule Judge atakuwa yule atakayesikiza kesi yakopengine ni mtu sio Muislamu, kwa hivyo hana fahamu ya sheria ya Kiislamu, kwa hivyo ni vizuri tuhukumiwe kwasheria ya Kiislamu.There is one very contagious issue. Kuna barrier moja hapa Isiolo. Hii ilikuwa ni mtindo wa Serikali ya ukolonikutufungia tusiwasiliane na maendeleo kwa areas zingine. My recommendation is hiyo barrier ya Isiolo is theonly one which I believe exists in <strong>Kenya</strong> apart from the boarders. It is as if we are on the boarder. I have been toNamanga and I have seen a barrier, I have been to Busia I have seen a barrier, I have been to Mandera I have seen abarrier, I have been to Moyale, but it is similar to the one in Isiolo. Hiyo ni mtindo ya kutufungia sisi. It is to

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!