10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

98inahakikisha ya kwamba kila Mkenya atapata hiyo resource katika nchi yake. Lakini leo hii vile mambo iko policymakers ama wale wako kwa ofisi kwanza wanaangalia kwao halafu wana angalia kwingine. Ili tupate fairdistribution ni lazima certain resource iende kwa kila constituency tuone ya kwamba at least kila Mkenyaamepata katika hio resource.Pia ningependa kusema ya kwamba ni aibu sana katika Kenya hii leo ya kwamba kila kitu katika Kenya hii ukiendanje ukienda wapi taabu yetu kubwa ni-corruption. Tumezungumza habari ya corruption, leo hii kuna kitu katikacorruption, tunataka kuona ya kwamba sheria mpya lazima ione ya kwamba Kenya is a corruption free zone. Hioni kusema ya kwamba kila mwananchi kila Mkenya apigane kuona corruption imepotea katika nchi hii.Pia ningependa tu kusema ya kwamba katika Kenya hii kama tulivyosema hapo awali na wengi wamesema sisikama Waislamu tuko thirteen kwa mia katika nchi hii na ningependa kuomba ya kwamba sheria mpya lazimai-distribute position katika Serikali hii kulingani na religion pia. Pia tungependa kuona ya kwamba sheria yaKiislamu lazima itumike pahali Waislamu ni wengi. Kwa sababu mimi ni mheshimiwa na mimi najua ya kwambaleo hii katika Kenya sheria ambayo inaletwa na United Nations sheria inaletwa na donors ili tuitekelezehaiambatani na Kiislamu. Haiambatani na maelekeo ya Uislamu. Hasa ukiangalia leo hii katika Kenya hii utaonaChildren’s Bill ambayo inaseme usiadhibu mtoto. Na ni wazungu tu wamesema ‘Spare the rod, spoil the kid’lakini kama wanasema tusiadhibu watoto, mimi kama baba yule kama mama nani anapende huyu mtoto kulikohawa watu. Kwa hivyo tungependa kuona ya kwamba sheria zingine ambazo ina-violate Uislamu lazima ionekanetumeirekebisha.Ofisi ya Kadhi kama tulivyosema lazima iwe ni ofisi ambayo …[Arabic dialect]… ya Waislamu wawezekujichagulia hiyo itabidii kuileta Uislamu katika nchi hii itaweza kusaidia Uislamu katika kila upande. Pia leoasubuhi katika contribution nimesikia ya kwamba, ni-idea ambayo nimeipenda sana ya kwamba Chief Kadhi awena uwezo sawa na Attorney General kuona ya kwamba yeye ameweka contribution yake katika sheria ya Kenyakabla haijapitishwa.Pia ningependa kuona ya kwamba, wengi wamesema mbele yangu, na ningependa tu kusema pia ya kwambaserikali za wilaya, local government councils lazima wapate power zaidi kuliko walivyo nao sasa. Kwa sababuwakati ili kuwa zamani local government ili kuwa na power ya kutosha, ndio inaangalia habari ya hospitali yetu,inaangalia habari ya shule zetu, ilikuwa inaangalia habari ya barabara zetu, tulikuwa na complain kidogo sana.Lakini leo huu wakati power imeenda kwa Central Government tunaona ni kama hutuna pahali ya ku-complain.Kwa hivyo tungependa kuona ya kwamba local authorities wawe na power ya kutosha, wawe ndio wenyekutegemea na wenye kusimamia vitu ambavyo viko katika local hiyo na ipate pesa kutoka Serikali ili iwezekufanyia huduma wananchi.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!