10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

107wholesale gani hakuna mtu anaweza pata six hundred thousand faida kwa mwezi ni ngumu sana. Sasa ukiwaunakula shilingi mia-sita na wewe unamwaambia unaagalia corruption na umezowea mingi unataka ongeza hatawewe utakuwa part of corruption. Wakitaka kutulinda kwa njia mzuri wajipige halafu wapige sisi na wengine.Kama hawajapiga hakuna corruption tutaangalia.Ya mwisho kabisa nitatoka hapa. Home Guards: Home Guards yetu askari ya nyumbani wako na bunduki ambayowakati wanaenda kupigana wanakufa na Serikali hapana lipa hawa ridhaa wanatufanya volunteer bure, miminapendekeza kwa sababu hawa wameandikwa katika kitabu ya <strong>Kenya</strong> na wameandikwa kila mahali, wakati watakufana wapate jira kwa kukimbiza mali ya wenyewe walipwe ridhaa. Damu yao ilipwe. Hata mishahara ilipwe kwasababu tax ya Serikali iko. Kwa hayo machache mimi nasema asanteni Mungu atusaidie.Com. Muigai :Bwana Haro Sime?Mzee Haro Sime :Asalaam Aleykum!, Waaleykum Salaam, ninaitwa Haro Sime.Translator :Mzee anasema yeye anaitwa Mzee Haro Sime mkaaji wa Kinna.Mzee Haro Sime :Aannin qaarr diiqoo waan shaambaa irr baah jeedTranslator :Yake anasema kwanza atapitia juu ya kuzungumzia ardhi na mambo ya shamba.Mzee Haro Sime :Nuu worr shaambaalee qootee, hoorrilee tiiss jeedTranslator :Tukiwa wakaaji wa Kinna sisi ni watu wa mifugo na pia tuna shamba ndogo.Mzee Haro Sime :Shaambaa suuun nuu faayyidha issi inaargganan jeedTranslator :Anasema hatujaona faida ya hiyo shamba.Mzee Haro Sime :Shaambaa suun gaaffaarssaf aarbba khees oollTranslator :Shamba yetu imekuwa ni makazi ya ndovu na nyati.Mzee Haro Sime :Gaaffaarsii suunif aarbbi suun guuyya cuuf looniif naam eejjes jeed

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!