10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

168Somalia na wakarudi, wali enda huko 1967-68, waliporudi hapa almost 50-60 of them ambayo wako hapahawajapata hiyo Identity Card hawawezi kusafiri, hawawezi kuenda pahali popote mimi napendekeza ya kwambakama ni right hawa watu wapatiwe hii identity card bila masharti yoyote ili waweze kujitafutia riziki yao.Ya mwisho mambo ya usalama imezungumziwa mimi napendekeza ya kwamba kuna bunduki ambazo ziko katikamikono za watu ningependekeza ya kwamba hizi bunduki zijulikane iko na nani katika kila location ifanyweregistration kwa Polisi iwe hii bunduki ihalalishwe nairudi chini ya mikono ya Polisi na mikono ya wazee.Asanteni.Com. Lethome :Haya asanteni sana nafikiri Alhamdulilai? tume fikia mwisho wa kikao chetu leo. Tulikuwana wasiwasi kuwa leo hatuta maliza. Hata tulikuwa tume ambia watu watafute mataa.Kwanza kabisa tuna shukuru mwenyezi Mungu …[Arabic dialect]… ambaye ametuwezesha kufika hapa na kusikizawatu wa Garbatula. Jambo ambalo ningependa kuwaambia inafaa mujipongeze sana nyinyi watu wa Garbatula.Tulipo kuwa tukija hapa baada ya kutoka Modogashen hatukutarajia kupata maoni kama ile ambaye tumepata hapaleo. In fact tulikuwa tunawasengenya na mjumbe wenu tukitoka msikitini kuwa maoni ambayo mmetoa hapakiwango chake ni cha hali ya juu sana. Kwa hivyo tunawashukuru sana.Kitu kingine ningetaka kuwahahikishia kama commissioner ni kuwa leo sio mwisho wa kutoa maoni. Ni mwishoya sisi kuja hapa. Lakini sio mwisho ya kutoa maoni. Mimi najua unaweza kwenda nyumbani baada ya kusikizavile watu wamezungumza hapa ukapata mawazo na maoni mengine ambayo ungependa iingie katika Katiba.Usilale na hayo maoni ambayo yanaweza kusaidia hawa watoto wadogo miaka mingine mia mbili ijayo. Tunakuomba maoni yako andika, tuko na wakilishi hapa Garbatula na mwakilishi wa District yuko Isiolo hayo maoniyatatufikia mpaka Nairobi. Muko na mjumbe wenu saa zote anakuja Nairobi mkimpatia maoni yenu yata fikahuko. Kwa hivyo leo sio mwisho wakutoa maoni. Mpaka hii process ifike mwisho unaweza kutoa maoni yako.Na bado tuko katika District hii mpaka tarehe ishirini na tatu. Kesho tunaelekea Merti halafu baada hapo Isiolokabla hatuja vuka mpaka kwenda Meru. Kwa hivyo bado mko na nafasi ya kutoa maoni wale ambayo hawakuwezakutoa maoni.Halafu tunajua kuwa Wakenya tumeishi katika historia ambaye imetutia wasiwasi sana. Mambo yoyote ambayeinahusiana na kupeleka maoni kwa Serikali ili mambo ya badilishwe huwa wananchi wana wasiwasi wanasemaitafikatu hapa njiani itapotea. Ama sivyo? Hatuwezi kuona matokeo yake. Na ndio yule kijana kwa mbaliamegusia akasema atatushtaki katika mahakama kuu. Ni haki yake kufanya hivyo. Ya huyu kijana mwanasiasamdogo, Abakula.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!