10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

114mwenyezi Mungu ametupatia, sivyo? Lakini kile kinatendeka sasa kuna Wahindi ambao wamepata Mining Licensekutoka Department of Mines and Geology na wamekuja na sasa wamechimba hapa. Na watu wa hapawameondolewa. Wamejaribu kujitetea jinsi wanavyoweza lakini kwa maana sheria ya sasa ambayo tunaitegemeahaitii maanani masilahi ya watu. Ndio wale ambao hawajawahi kuona hata Kinna hata Garbatula, leo wamekujakufaidika na mali ya asili ambayo Mwenyezi Mungu ametupatia hapa, sivyo?Kwa hivyo tunapendekeza ya kwamba Serikali itie maanani masilahi ya wenyeji wanaoishi sehemu fulani fulani ya<strong>Kenya</strong> and they should enact a <strong>Constitution</strong>al Clause hata kama hawapati hundred percent. Kwa maana hatuwezikusema Serikali haina haki. Serikali inahaki. Serikali inatawala nchi mzima, Serikali ina haki lakini wasidhulumuwenyeji ambayo wanaishi hapa. Hata labda wakipitisha sheria kama kusema ikipatikana petrol faida ambayoinapatikana na hiyo petrol nusu iende kwa wenyeji hapo, si hata hiyo ni faida sivyo? Hatusemi Serikali ina-zero,hakuna Serikali ambayo haina haki. Serikali inahaki Bwana. Hata wewe ukifanywa rais ama mimi rais lazima nchihii ni yetu sisi wote. Serikali inahaki ya mapato na wananchi ambao wanaishi hapo wanahaki pia. Kwa hivyomasilahi ya watu ambao ni wenyeji iangaliwe pia. Hiyo ndio ningependa kusema kuhusu mali ya asili.La nne ambalo ningetaka kusema ni haki za msingi. Kile tunaita basic rights. Haki ya mwanadamu ya mwananchiwa nchi hii. Kuna haki ya kuishi, kuna haki ya kumiliki mali, haki ya kumiliki ardhi, haki ya kuishi kiheshimakama mwanadamu hufaa aumbwe vizuri ale chakula kizuri awe na mahali pa kulala vizuri na ni jukumu ya Serikalikuangalia watu wake wanakaa vizuri vile wanavyohitaji. Na sisi kama wenyeji wa nchi hii hatujarithika kamwe hatakidogo kutoka ukoloni mpaka sasa na tunataka sheria ipitishwe ya kuangalia masilahi ya watu wa sehemu hii kwamaana tunafikiria kwamba tumedhulumiwa sana na haki yetu kuhusu maendeleo, kuhusu barabara, kuhusu mashule,kuhusu mambo mengi tumeachwa nyuma. Serikali ya ukoloni imetuacha na Serikali yetu tukufu ya uhuruwametuacha.Kila sehemu inahitaji hapana mambo kidogo kidogo kama sehemu zingine kwa sababu kile kinatakikana ifanywena Serikali kwa dhati nikuinua maisha ya watu wa hapa na kuangalia masilahi yao ili waweze kushikamana nawenzetu ambayo wanaishi sehemu zingine za <strong>Kenya</strong> ili kielimu tuwe sawa sawa. Kwa ujenzi wa barabara, nyinyima-commissioners umeona kutoka Bodogashen mmekuja hakuna njia hapa. Labda mnauliza kwa mioyo yenukama kuna Serikali hapa. Serikali yetu ni ile imejengwa na ukoloni tu hakuna kitu ingine hapa. Sisi tunataka piacolleges, tunahitaji colleges za waalimu, tunahitaji colleges za nurses, tunahitaji mambo mengi kama inavyohitajika na wengine.Lakini kwa maana hatuna watu wakubwa katika Serikali tume sahauliwa na sisi tunataka sehemu hii iwe declared adisaster zone. Si mambo ya kusema tu ati kuna mafuriko disaster zone, kuna momonyoko wa ardhi disaster zone,hapana. Vile tunavyoishi sasa ni disaster. Na tunataka Serikali ifanye juhudi kuinua maisha yetu. Sababu gani

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!