10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

113kuogopa na bila kuficha ya kwamba mpaka ikuwe kama tulivyo ridhi kutoka wakoloni. Mnakubali hivyo… sivyo?Mpaka iwe kama ilivyo wachwa na wakoloni. Hiyo ndio kitu cha kwanza ambacho ninapendekeza.Tena cha pili ardhi hii inamilikiwa inaitwa Trust Land yaani County Council ambayo inajukumu hapa inalinda ardhikwa niaba yetu. Vile mambo ilivyo sasa na vile ma-councillors walikuwa wamenitangulia wamesema. Waowenyewe hawajui ya kwamba vile Kinna kunatendeka. Kwa sababu kuna mtu anaitwa Commissioner of Landsambaye anakaa huko Nairobi anapatiana ardhi kihohe hahe bila kujulisha Council wacha wananchi wa hapa. Bilahata Council kujua. Na hiyo sheria ipitishwe ya kufanya hiyo haramu.Commissioner of Lands asipatiane ardhi za watu kwa maana ardhi hii ni ya wananchi na ya jamii ambao wanaishihapa. Commissioner of Lands asipatiane title deeds ya sehemu fulani bila kuhusisha Council na jamii ambayowanaishi hapo. Kwa mfano mahali ambapo panaitwa Ndovu, Borana wanaita Arbujahan. Kuna wakati ambaopetrol ilipatikana huko, sivyo. Mnajua sivyo? Na imesemekana wajanja huko Nairobi walipata title deed ya areaya Arbujahan. Ile wale international oil prospectors wale wana tafuta petrol wakija waonyeshe nini, title deed yaArbujahan apatiwe pesa kwa maana hapo ni mahali yake. Hiyo ni haki? Hiyo si haki. Kwa hivyo Commissionerof Lands na hata Rais wa nchi hii asipatiane ardhi kihohe hahe namna hiyo bila kuhusisha raia ambayo wanaishihapo na Council ambayo wanajurisdication ya hapo.Nitaendelea, nitafanya haraka haraka. Nitazungumza ya pili kuhusu mali ya taifa hili. Kila mwaka vile mnavyojuakuna makadirio ya pesa ya Serikali, yaani tarehe kama mwezi wa tano ama sita hivi, kila mwaka Serikali inamakadirio ya pesa zake. Pesa ambazo inakusanya Serikali inatumia namna gani? Kwa ujenzi wa taifa na kulipamshahara na kadhalika. Lakini pesa ile imewekwa kwa development purpose ya maendeleo hakuna kitu chochotesisi tunapata. Tunafikiri kama raia wa nchi hii sisi tumedhulumiwa kwa hivyo tunapendekeza kutoka consolidatedfund iwekwe sheria. Sheria mpya iwekwe ambaye itasema kata kata pesa igawanywe kwa wilaya na kama vilemheshimiwa Wako amesema hata kwa constituency level kusudi kila mmoja apate haki yake, sivyo?Kama wewe huna mtu huku ambaye anafanya hiyo makadirio ya pesa ya Serikali budget na nini na nini nakadhalika kama huna mtu huko kwanza mtu ananza na project ya area yake, sivyo? Ile hata inabaki haifikii sisi.Kwa hivyo tunataka sheria ifunguliwe. Enactment of a Constitutional Clause ambaye inasema kata kata mali yataifa hili igawanywe kusudi kila moja apate haki yake. Iko distribution of the natural resources of this country.Hiyo ndio kitu ambacho ningependa kusema kuhusu mali ya taifa hili.Jambo la tatu ningepende kusema ni juu ya mali ya asili: Mali ya asili ni kama madini hapa ambayo inapatikanakatika sehemu fulani fulani. Kwa mfano hapa Duse kuna blue sapphire ambayo inapatikana. Sisi kama wenyeji waardhi, ya hapa wilaya hii na kama watu ambao wanaishi katika sehemu hii tunahaki ya kufaidika na kile ambacho

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!