46mpaka ng’ombe inachukuliwa damu. Hatupati hiyo permit. Kwa hivyo tunataka hii sheria ambayo itakayokuja vilenimependekeza. Kitu inaitwa quarantine ipigwe marufuku. Mifugo kama iko ugonjwa itibiwe na sisi tunapatapermit wakati inayotakikana yote karibu na sisi.Ya pili, sheria ikubalie sisi nimependekeza tupatiwe soko ya mifugo yetu tuweze kuuza nchi za nje. Tuweze kuuzavile bidhaa hizi zingine zinauzwa, tuwe tukiuza nje.Ya tatu, nitagusia juu kidogo ya mambo ya ardhi. Hii ardhi yetu inaitwa Trust Land. Hii Trust Land, hii jinaiondolewe iitwe Community Land. Jukumu iwe yetu, sisi tuwe na jukumu ya hiyo ardhi, sio ati watu wanaendaofisi huko juu, <strong>Commission</strong>er of Land anapeana barua kwa mtu yule yoyote ambaye hajawai kuona pande hii.Ame patiwa barua na <strong>Commission</strong>er of Lands ati anakuja, anataka anasema, anataka sehemu fulani ati ni yake.Hiyo sisi imetuumiza, miaka nyingi. Tunataka hiyo ardhi iwe chini yetu, tukiwa pamoja na County Council natuwe na kamati ya Trust... Board of Trust, kama watu kumi kutoka kila Location.Ya tatu, nitagusia juu ya uchumi. Sisi Waislamu kuna kitu inaitwa, mkopo, ambaye ni ribaa kwa Waislamu kupatahiyo mkopo. Na nchi hii Bank yoyote, ama mahali yoyote ya kupeana pesa, lazima inakuwa na ribaa Kwa hivyosheria nimependekeza sheria ibuni ya kuleta Bank ambaye haitatoza sisi ushuru... ribaa tusipate interest yaani hiyoni haramu kwa dini yetu na tusile, kama Waislamu haramu.Ingine pia nitagusia juu ya mambo ya chama. Vyama, tuko na chama nyingi <strong>Kenya</strong>, mimi kwa mapendekezo yangutuwe na chama mbili ama tatu katika nchi hii. Hii chama nyingi kama makabila inatu... haina maana kwetu. Chamamoja ikitu haribia kitu ingine inatetea. Kwa hivyo mbili, tatu kwa maoni yangu ni mzuri.Com. Muigai :Yes Bwana Guyo.Mr. Mohammed Guyo : Yes, ya mwisho, nikiongezea, nitarudia ile mambo ya mifugo. Nataka hii mifugobadala sisi tunapeleka mbali, sasa kuna sehemu ambayo imejengwa ya mahali ya kuchinjia mifugo, upande waMasaaini huko. Tunataka kitu kama Kmc iwe ikijengwa katika area hii yetu. Tu... tu... tuwe tu... tukiweza kuuzamifugo yetu kwa hiyo Kmc ambaye ni karibu na sisi. Kwa hivyo kwa maoni yangu mimi napendekeza haya.Com. Muigai :yuko. Okay karibu, Bwana Mohammed.Asante sana. Mohammed Abdulkadir. Mohammed Abdulkadir. Hayuko tu ...[inaudible]...Mr. Mohammed Abdulkadir :Hamjambo wote.
47Com. Muigai :Karibia mic.Mr. Mohammed Abdulkadir :Hamjambo watu wote.Com. Muigai :Hatujambo.Mr. Mohammed Abdulkadir : Sisi tunataka kuomba kitu kimoja, Bwana <strong>Commission</strong>ers mmekuja hapa,kwa sababu ya jukumu fulani, na leo ni siku muhimu kwa watu wetu sababu hatuja husishwa kuandika Katiba katikamaisha yetu. Tungependa kuomba nyinyi msituharakishe, mtupe sisi nafasi yetu leo sababu kuna watu wenginewanaweza kulia hapa usikie mbaya. Sababu hapa ni hardship area tunaweza kuuliza Serikali ina mpa nyinyihardship kidogo...Com. Muigai :...[...uHu!...]...Mr. Mohammed Abdulkadir :Executive...Kwa hivyo, tafadhali tuwe rafiki hapa. Mimi ningependa kuzungumza juu yaCom. Muigai :Karibia mic.Mr. Mohammed Abdulkadir :kupigania urais wa nchi asiwe mjumbe. Napendekeza hiyo kwanza.Juu ya Executive, mambo ya Serikali. Ningependa mtu yoyote anatakaYa pili, Rais asiwe na kazi ingine isipokuwa ya Executive. Mambo ya Judiciary, mambo ya Legislature isiweyake. Akae mbali, sababu kitu ya kwanza mtu akiwa yule mjumbe ya hapa south, na niwe Rais, inajenga wapi.Hapa. Mapendekezo ya kwanza, ningependa hiyo, kwa sababu ya kuwa... na asiwe na bias.Ya pili, mtu yoyote anakuwa President. Qualification ya kuwa President. Lazima mtu ambaye amesoma,amehitimu kiasi ya kufika hata University. Awe President... Presidential candidate must be a graduate. Napitia tukidogo kidogo.Com. Muigai :...[eEh!]...Mr. Mohammed Abdulkadir :Judiciary. Mambo ya Judiciary ningesema. Napendekeza sisi tuwe na Yes.Com. Muigai :...[eEh!]...
- Page 1 and 2: Constitution Of Kenya Review Commis
- Page 3 and 4: 3Tumechelewa kidogo. Wale ambayo wa
- Page 5 and 6: 5dakika kumi. Mwisho kabisa dakika
- Page 7 and 8: 7Mzee Wako Hache :Maaooniin tiiyyaa
- Page 9 and 10: 9Translator :Lazima sheria mpya, ih
- Page 11 and 12: 11ambayo imenyakuliwa irudishwe. Ni
- Page 13 and 14: 13Translator :mambo mingi.Anasema S
- Page 15 and 16: 15akh siirkaali haatua itti fuudaat
- Page 17 and 18: 17Translator :Sisi ni watu wa mifug
- Page 19 and 20: 19aaggart khaanii, maaqaa aabbootii
- Page 21 and 22: 21Na mfanya kazi ambaye ni Muislamu
- Page 23 and 24: 23kazi, tuwe local na tupate sawa s
- Page 25 and 26: 25cuuf wool fiitTranslator : Anasem
- Page 27 and 28: 27inyoonggan jeedaanii acciin dhaab
- Page 29 and 30: 29kupigwa ipigwe marufuku.Com. Muig
- Page 31 and 32: 31na nini... na umeletwa hospitali.
- Page 33 and 34: 33zinaendelea kuwa huko Nairobi. Ki
- Page 35 and 36: 35Sheikh Dabaso Ali Dogo :...[Arabi
- Page 37 and 38: 37kwa sababu, nikiondoka sitapata k
- Page 39 and 40: 39Translator : Mzee anapendekeza ya
- Page 41 and 42: 41skuulla, ijjooleen laaf taanaa ma
- Page 43 and 44: 43we are now becoming vulnerable to
- Page 45: 45kidogo vile alisema, lakini natoa
- Page 49 and 50: 49Serikali lazima ipewe pesa sawa n
- Page 51 and 52: 51kuchukuwa Passport unaenda Nairob
- Page 53 and 54: 53ikivunjwa na ndovu shilingi elfu
- Page 55 and 56: 55Ya mwisho kabisa natakakusema hiv
- Page 57 and 58: 57zamani walisema the President is
- Page 59 and 60: 59Parliament should make laws for t
- Page 61 and 62: 61The Chief Kadhi should be head of
- Page 63 and 64: 63wanakaa Nairobi....Com. Muigai :.
- Page 65 and 66: 65rural areas. Hakuna senti ya budg
- Page 67 and 68: 67Kutairisha wasichana: Unasikia sa
- Page 69 and 70: 69Translator :Waislamu tuna haki ga
- Page 71 and 72: 71hao watu. Tusiwekwe chini ya East
- Page 73 and 74: 73kwa Katiba yetu mpya, hiyo maji a
- Page 75 and 76: 75kheen maalaa maari yaadh, maalaa
- Page 77 and 78: 77khees maa ingguurr, taa biiyyaa l
- Page 79 and 80: 79South-Horr, Gaas Kaargii, Qaarrar
- Page 81 and 82: 81mimi naona inaitwa Meru National
- Page 83 and 84: 83wale viongozi, tumewachagua ndio
- Page 85 and 86: 85Sasa hao wengine walipoenda kutaf
- Page 87 and 88: 87Kwanini sisi tusi pate hio fursa,
- Page 89 and 90: 89irraa dhaamnTranslator :Tuki rudi
- Page 91 and 92: 91Mr. Abdirashid Ali Tacho : Nuu bo
- Page 93 and 94: 93hapa na wanaishi hapa Mbarambate?
- Page 95 and 96: 95Aadhaa laafaa, Ibbsee laafaa aahh
- Page 97 and 98:
97sisi kama wafugaji ardhi yetu isi
- Page 99 and 100:
99Pia ningependa tu kusema ya kwamb
- Page 101 and 102:
101education, kama ni maji, kama ni
- Page 103 and 104:
103inasema Trust Land iko chini ya
- Page 105 and 106:
105ridhaa. Hiyo ndiyo maoni yangu.Y
- Page 107 and 108:
107wholesale gani hakuna mtu anawez
- Page 109 and 110:
109Translator :Anasema nikiwa na ma
- Page 112 and 113:
112Mzee Haro Sime :Aarmmaa kheessaa
- Page 114 and 115:
114mwenyezi Mungu ametupatia, sivyo
- Page 116 and 117:
116maanani iende sambamba na sheria
- Page 118 and 119:
118maji itakuwa mambo ya Serikali y
- Page 120 and 121:
120Translator : Anasema kuna wakati
- Page 122 and 123:
122kuwacha kwa sababu wamefanya dhu
- Page 124 and 125:
124Ya tatu mamlaka ya rais ipunguzw
- Page 126 and 127:
126Councillor ama Bunge tukifanya c
- Page 128 and 129:
128halafu tuingie kwa kina baba ten
- Page 130 and 131:
130Ya kwanza ni affirmative action:
- Page 132 and 133:
132na mama kwa muda wa miaka kumi-n
- Page 134 and 135:
134Com. Lethome :Tupa tupa tu!Mr. O
- Page 136 and 137:
136Com. Lethome :Unapendekeza nini?
- Page 138 and 139:
138wako na shamba. Ni kama huko upa
- Page 140 and 141:
140create fear watu waogope kuingia
- Page 142 and 143:
142mjumbe wangu niko na minister fu
- Page 144 and 145:
144Mr. Ahmed Noor Wako :Asalaam Ale
- Page 146 and 147:
146wengine tena. Kwa sababu hasara
- Page 148 and 149:
148Ofisi ya Ombudsman iundwe Katiba
- Page 150 and 151:
150Translator : Mama Nuria anasema
- Page 152 and 153:
152ammantan maanikhan wooni akhaana
- Page 154 and 155:
154Mr. Bonaya Sama :Taan dhuubb dhu
- Page 156 and 157:
156Garbatula.Mr. Abdikadir Mohammed
- Page 158 and 159:
158Translator :Aam maan feet ree, a
- Page 160 and 161:
160Mzee Abdi Dubukusu :...[inaudibl
- Page 162 and 163:
162Translator :Na hata ngozi ya Chu
- Page 164 and 165:
164sababu Wanakenya wengi hata watu
- Page 166 and 167:
166security then Dc huyu wa Isiolo
- Page 168 and 169:
168Somalia na wakarudi, wali enda h
- Page 170:
170za Garbatula ame record leo. Hak