10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

65rural areas. Hakuna senti ya budget ya elimu ina fika sehemu hii. Kwa hivyo tunapendekeza, the budget in theeducation sectors should reach these areas. Then tunapendekeza, the old system of education, 7-4-2-3, shouldbe adapted. 8-4-4 has proved to be fruitless. Tunapendekeza ya kwamba mfumo ya zamani ya elimu yasaba-nne-mbili-tatu, irudishwe kwa sababu that system has specialization. Leo hii katika mfumo wa 8-4-4, mtu issaid to be a master to every thing but jack... jack of all trades but master to none, in 8-4-4, wewe ni kama tu mtuambaye hana macho, hujui ya kwamba itakuwa nini. Serikali, this is a [?] method and this education is far below, ‘C’ level in regardless to world education sector. Kwa hivyo tunapendekeza, katika sehemu yetu hii, in the wholesystem 8-4-4 itupwe mbali, kwa sababu ni gharama mingi kwa Serikali pia wanafunzi wao wanakataa, na vile vileni mzigo, kwa wananchi. System ya zamani 7-4-2-3, ...[...?...]... irudi, hiyo ni elimu ambaye iko na nguvu zaidi.Teachers should be paid better than civil servants because they have a delicate task or transforming our children?.They have more work than any other workers in the state. Tunapendekeza waalimu, sana sana katika sehemu hii,wapewe mshahara ya kutosha. Kwa sababu hao, wanajukumu kubwa katika ujenzi ya taifa hili. Teachers should bewell balanced throughout the country. Waalimu wanapogawanywa wa tumwe katika pembe zote, za <strong>Kenya</strong> hiikuwa usawa. Leo tunakuta kwamba, kuna wilaya ambazo ziko na waalimu wengi. Licha hii yetu. Kwa hivyotunapendekeza, teachers should be fairly distributed, sana sana in rural areas.Madrassa education should be recognized. Its teacher training set-up and the teachers paid by the state. Hapatunasema ya kwamba waalimu wa Madrassa pia, wana husika... wanahusika sana katika ujenzi wa Madrassa. Kwahivyo waalimu wa Madrassa wanaelimu. Serikali wanasema... wanaambia a Sheikh mwenyewe ati he is illiterate.This person is so learned because he has... because he has mastered the whole Koran. This person is notilliterate. He should be... he should be written as a person who has his modern education. Kwa hivyo huyulazima apewe hivyo. Many boarding schools should be set up for nomadic children. Many boarding schoolsshould be set up for nomadic schools... children ...[inaudible]...Environment and natural resources: Wakati nafikiri umenipata vibaya, nita jaribu kusema moja moja.Environment and natural resources. Pastrolists grazing land should be community lands and not trust land.Living standards... okay...Tourism: The state has to provide enough security for tourists. The state should improve transportation andcommunication for the tourists. More tourist centres have to be put up in place, infrastructures to be improved.The state should improve international relationship for tourism sector and groups. Wildlife should be protectedagainst poachers, should be protected together with their grazing areas during times like film shooting, in parks.Nafikiri nita maliza hapo.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!