10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

53ikivunjwa na ndovu shilingi elfu kumi kwa kila mti ya ndizi.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Mtu ambaye atauliwa na nduvo ridhaa yake itakuwa ni million mbili anapendekeza.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Anasema ule ambaye atakuwa ni kiwete labda ameumizwa na amekuwa disabled kidogo kwa ajiliameumizwa na mnyama. Maisha yake yote atakuwa na hiyo disability alipwe million tano.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Hiyo boundary ambaye imechukuliwa na huyo jamaa ambaye amemtaja hapa Angaine anasematurudishiwe hiyo pahali wamenyakua wamefanya Meru National Park.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Kuna pahali inaitwa Duse katika sehemu yetu ambaye maskini yetu wanaishi naye.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :imenyakuliwa.Sisi umaskini ambaye walikuwa wanaishi katika sehemu ya Duse leo hatuna haki ardhi ya DuseMzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Mtu ambaye leo amechukuwa license ya kuchukuwa sehemu ya Duse ni mhindi.Mzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…Translator :Duse.Mzee anasema katiba iseme mhindi huyu aondoke haraka hatutaki kumuona katika ndani yaMzee Hussein Abdilafa :…[Vernacular through translator]…

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!