10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

79South-Horr, Gaas Kaargii, Qaarrarii Maalgiis, vaayoo guudhaa kiitiyya, saabbarrwaawa koobb,baanaris gaallan waasoo, dhaambel meeloo naanee, maalbeesilmii shaadh, daabba loon goollicaa,kuubbi daakaarra, kuubbi dhiidhiiqoo kaacuuruu, hirres qaamparre hoojjaanaa khaa hooteeli, hirresqaamparee hoojjaanaa mutuaadhee, aardhaa waalesuu hootelii, kuubbi jaajjusaa seerr laaf teenaabaaracuuni, haagg laaf teenaa aarggacuu.Nilikua nikileta mapendekezo yangu kwa njia ya shairi na yalikua topics fulani. Ya kwanza sisi tangu zamanitulikuwa na Katiba, Katiba ya maana. Sisi tulikosa maana wakati tulikuja kutawaliwa na ma Katiba ya Serikali.Hata ukienda United Kingdom ile Katiba inatumika huko ni ile ya Arabagada ile yetu ya zamani. Sasa ile kituimetuharibia vitu yote ni Katiba hii tumeletewa. Wakati wakutungwa sisi hatukuwa ndani, kama tungekua ndanitunge rekebisha. Sasa ile vitu tulikuwa tumeletewa ni vitu ambavyo yaani haina msingi ya kutusaidia. Nilikuwanaongea hivyo. Hiyo ilikuwa introduction.Topic ya kwanza ilikuwa ni national budget: National budget sisi pia ni wananchi wa <strong>Kenya</strong>. Tunakuwa na njia,Ministry of Transport hakuna kitu tuko naye. Njia hakuna sisi, hakuna njia. Hata ile unaona hapa ni miguu ya watutu imezowea kutembea tembea, miti wanajikatia wenyewe. Hakuna njia. Hospitali hakuna, ile iko moja dawa,daktari hakuna. Si mahali moja, kila mahali. Mahali sisi tunakaa yoyote. Kwa hivyo mahali hizi vitu zote hazikotungetaka Katiba mpya ifanye marekebisho hata sisi tupewe haki sawa na ile ya wananchi wako <strong>Kenya</strong> mahalipengine.Maoni ya pili ili kuwa juu ya ardhi: Ardhi yetu imenyakuliwa na watu wa park, watu wa reserve, military camps,bila sisi kuwa kwa hiyo majadiliano. Hii ni ardhi ya wenyewe sisi tulizaliwa hapa hatujazaliwa Kiambu wapi hapahapa. Hakuna mtu anatueleza mahali, vile inaenda, vile itafanyiwa, tunakuta tu huko artillery, huko game reserve,huko… hata tumeshindwa mahali ya kuchunga ile mbuzi ile taro kumi tume bakishiwa, wakati ya emergency ilimaliza yote lakini tukaona kidogo ile imebaki. Sasa hiyo haina mahali ya kulisha ita kufaa njaa tu kwa sababuardhi yote imechukuliwa.Sasa point ingine ilikuwa ni veterinary sanctions: Veterinary sanctions sisi tuko na mbuzi, tuko na ng’ombe, tukona ng’amia na zamani wakati wa wakoloni tulikuwa tukisikia, hata wakati tulikuwa wadogo, tulikuwa tunasikiasupply. Wazee wanakusanya ng’ombe wanapeleka mahali fulani imenunuliwa nini, kwa bei hivi namna hii. Sasasiku hizi hatuna soko. Sisi… mahali kama hapa Garbatula sioni kama inaweza limika hata maji ikiletwa na, hataikitolewa mahali nyingine.Sasa ile kitu tuko naye, resource zile kitu tunaiishi ni wanyama wetu wa nyumbani, sasa kama hakuna sokoutafanya nini. Ukichinja butchery hakuna soko, sababu hata hawana pesa. Mtu akiuza ng’ombe ndio apate pesa,

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!