10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

106Mifugo sheria ya mifugo kulipwa ridhaa imekuwa-revoked. Sisi tunataka iangaliwe hiyo sheria ifunguliwe walewanyama wanakula vitu yao ilipwe ridhaa ili wananchi wapate kustahili kupata yao.Mambo ya mines: Sisi tuko hapa na Duse mine hii ardhi ni yetu sisi ni wananchi wa Kenya katika Katiba kunaclause moja inasema mine mahali inapatikana mine wananchi walipwe ridhaa ya mali ya nyasi ya hiyo nchi yao namali yao. Wale walijenga zamani na wale wa sasa hawajatulipa ridhaa na waliingia nchi yetu. Sisi tuko naviongozi, vile waliingia mpaka leo sisi hatuna habari. Waliingia Duse mine mpaka leo hata kama iko na licensesisi hatuna habari. Kwa hivyo tuko na mjumbe tuko na-councillors wale viongozi walichaguliwa sisi tunatakaichukuliwe fursa iangaliwe hao watu walikubaliana na nani agreement. Walielewana na nani kuingia pale. Na sasawale wafanyikazi huko vijana wetu wale waliandikwa huko pamoja na askari police na Ap wanapikiwa ugali namboga yao ni maharagwe.Hiyo ni ukoloni ama hiyo ni haki? Hiyo ni dhulma inafanyika. Kwa hivyo mimi nataka ni chukuwe kwa sababuviongozi ni sisi. Mheshimiwa sisi tuko tayari chukua sisi, kagua hiyo kitu tuone wananchi wamepata haki yao,kwa sababu mimi nilikuwa huko jana chakula walikula ukiona utatapika mwenyewe hiyo ilikuwa ni dhulma kubwainafanyika huko.Bwana Commissioner maoni yangu ningependekeza Muislamu apate at least kama tuta kuwa na three ministers,deputy lazima akuwe Muislamu ili Waislamu wapate haki yao ile wanastahili kupata.Mambo ya ufasidi: Mambo ya corruption. Mambo ya corruption kichwa cha kwanza the first one wale waliletashida ya corruption kwa Kenya ni Wabunge. Wabunge mshahara yao leo ni laki-tano-na-sita. Na kama weweunakula shilingi elfu-mia-sita six hundred thousand na watu wetu wanakula yellow maize na wengine wanaumiahapa utatetea nani? Mimi napendekeza badala wabunge wajiongeze mshahara, mshahara yao i-reduce kwanzia vilemwanzo ile walijiongeza yote iwe-abolished wananchi wakalie Jimbo zikae waangalie namna wananchi watapatakwa sababu ile pesa ingekuja kwa huduma yote imeenda kwa watu mia-mbili.Kama mtu anakula elfu-mia-sita na tuko na watu mia-mbili ni-billion-moja-na-nusu, uchumi yote ya Kenyaimepotea. Hiyo mshahara ni mingi kupita kiasi including that of the President, mawaziri na ma-Mps hawaja fanyahaki wakati mshahara yao ilienda laki-tatu na laki-sita hiyo ni dhulma walifanyia raia wa Kenya, kwa sababu tunalipa-tax. Kwa maoni yangu hiyo pesa yao iwe-reduced, iwe-reduced irudi kwa normal size kwa sababu hiyohapana haki. Mimi sija sema bunge moja mbili, wabunge ya Kenya yote including President, Vice-President yotewalifanyia raia ya Kenya dhulma kukula tax ya wananchi kwa njia mbaya. Mpaka hata mbunge wangu.Kwa hivyo mimi napendekeza hiyo mshahara iwe-reduced irudi kiasi ya mtu. Katika Kenya leo hata kama iko na

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!