10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

73kwa Katiba yetu mpya, hiyo maji asikatike na ichunguzwe, Katiba yetu ichunguze hiyo maji ipatikane ili tuendeleeupande hii kwa njia mzuri.Maoni yangu ya tatu ni home guards. Serikali inatupatia home guards wachache sana. Hata wale tunapatiwawanapatiwa risasi arubaini, mali yetu ikichukuliwa ama sisi tukipigwa na adui home guard wanaogopa risasi yaohawafahamu. Tunapatiwa, mbeleni askari tunapatiwa na askari hawakai huko kwetu. Wanakula mshahara lakiniwanakaa mahali wanataka. Hakuna location yoyote tukonae, tukona askari ndani. Sasa mimi maoni yangu ilenatoa napendekeza kama Serikali hawa wizi kutupatia, yaani hatulindwi kwa njia mzuri mapendekezo yangu sisibinafsi tujinunulie bunduki na hiyo bunduki yetu ihalalishwe. Maana hatuoni usaidizi yoyote ya Serikali yakutulinda kwa hivyo maoni yangu iwekwe hiyo bunduki yetu kwa Katiba ili sisi tujilinde nazo.Maoni yangu ya mwisho: Wale wametoa maoni mbele yangu ni wengi na wale wanangoja ni wengi, lakininawaomba maoni imetolewa na watu Katiba yetu ihakikishwe hiyo maoni irudi na itengenezwe mzuri. AsalaamAleykum!Com. Muigai :ku…Asante sana. Abdirashid Kiri? Bwana Kiri hebu jaribu ku… vile uko na memorandum jaribuMr. Abdirashid Kiri : Asalaam Aleykum, Waramatulah Taala Wabarakat! Kwa jina mimi naitwa AbdirashidKiri. Mimi ni kijana wa Garbatula. Napendekeza kitu kimoja kwanza. Kama mimi ni moja wa jamii ya Kiislamu.Kwa maana <strong>Kenya</strong> ina watu asilmia thelathini na sisi kama Waislamu ni one third of <strong>Kenya</strong>ns. Sasa katika Katibainayo kuja nafikiri kama itakuwa powerful prime minister au president power yao, president akiwa ni powerful,makamu ni lazima akuwe ni Muislamu. Hiyo ni mapendekezo yangu ya kwanza. Kuhakikisha nijue ya kwambahiyo ni maoni yangu na nafikiri Waislamu wote labda wata ni support.Ya pili. Katika pastrolists sisi tumekuwa tumeangamizwa wakati wa 1963, wakati wa emergency na ikocompensation ilikuwa. Hata kama mtu moja mbili au vile alikuwa amepata nini haki. Halafu kuna Act ilikujaambaye inaitwa Indemnity Act ambaye ime-introduce-iwa na Sir Charles Njonjo kwa Parliament. Hiyo IndemnityAct i-abolish-iwe kabisa. Na haki hiyo nafikiri Serikali iangalie.Tukirudi katika Education: Masomo yetu iko nyuma sana kama wale wafugaji. Mimi nataka kupendekeza maonimoja wakati distribution ya resources itakuwa katika Serikali kuu. Distribution upende wa Education iangaliwekwa wafugaji halafu iende ndio tutashikana na Wakenya wengine. Sisi tuko nyuma sana katika education na fikirimapendekezo yangu hayo yatatiliwa maanani. Kwa maana msingi ya kila kitu ni education.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!