10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

You also want an ePaper? Increase the reach of your titles

YUMPU automatically turns print PDFs into web optimized ePapers that Google loves.

122kuwacha kwa sababu wamefanya dhulma na tena ningetaka kusema kitu kimoja hapa na ifanywe katikaconstituency kidogo katika Constituency zetu. Hatutaki kabila zingine zitafute kiti cha ubunge wala udiwani kwasababu ni kwetu na utakuta vijana wetu wengi hapa hawana kazi.Na tena mimi ningetaka hapa kupendekeza Serikali ya Majimbo kwa sababu huduma za Serikali zitatukaribia.Majimbo ita semekana katika hii District, Isiolo, Marsabit na Moyale iwe Majimbo ya Waborana pekee.Tungetaka hivyo kwa sababu hatuamini Wasomali hatuamini Wameru kwa sababu wametufanyia mabaya hapazamani.Na ningetaka kupendekeza upande ya dini sisi ni Waislamu watuhukumu na sheria za kiislamu. Kadhi awe napower kama Magistrate. Tupewe uhuru ya kuendesha dini zetu. Certificate za Waislamu zitatambuliwe kamaCertificate zile za education. Mavazi ya Kiislamu yatambuliwe kazini wakati unaenda kazi unaweza kuvaa mavaziya Kiislamu uende kazini. Tungetaka tufanyiwe hivyo. Na tena jina ya Waaria ambayo tumebandikiwa hiyo jinaiwachwe kabisa.Na tena ningependekeza wale wanasimamia idara ya Waislamu walipiwe haki wafanyikazi wao wakati wanastaafuama kuwacha kazi kama wafanyikazi wengine wa Serikali pamoja na Ngo yote.Com. Lethome :Maliza ndugu yangu.Mr. Abdulahi Gartasa :Sawa. Sasa kwa hivyo. Sasa nitaachia hapo kwa sababu inaonekana watu ni wengi.Com. Lethome :Asante sana.Mr. Abdulahi Gartasa :Okay Asanteni.Com Asman : Thank you for understanding. Alikuwa ni Sheikh Salad yuko? Sheikh Salad. Halafu ikitokaSheikh Salad kuna mama anaitwa Mama Tarma. Mama Tarma afuatiwe na Salo Abdi na Mumina Halkano. Hawawatatu wamama wajitayarishe. Mimi nitafuata list tafadhaliSheikh Salad : <strong>Commission</strong>er, waheshimiwa ma-councillor wakina mama, Asalaam Aleykum! Miminingeliongea lugha ya Kiborana lakini nitaongea tu Kiswahili kwa sababu... Mimi naitwa Sheikh Salad. Siumeandika tayari?Com. Lethome :Nataka i-record-iwe.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!