10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

142mjumbe wangu niko na minister fulani ndiyo nina weza kupata kazi mahali fulani. Pia tunasema wapewe nyongezaza mshahara na pia wapewe public service isikuwe na mambo ya corruption na political interference.Constitution i-protect hiyo.Mambo ya Natural Resources imeongewa sitaongea sana. Inasemekana ya kwamba local communities mahalinatural resources ziko waweze kufaidika na wahusishwe katika protection. Watu wanafikiria natural resources nimadini tu ya Duse. Hata mchanga wa hapa ni natural resources yetu. Mchanga hapa kila siku lorry kumi lorryishirini. All natural resources hata hii miti ni natural resource. Mtu anakuja anakata, mawe zinaokotwa all thesethings are natural resources. So tusifikirie tu natural resource ni wildlife, yote ikuwe protected.Nina kuja kwa participatory governance kwa sababu pia hapa haija ongelewa na watu wengine. Tunajua ya kwambaCivil Society organizations ama mashirika yasio ya Serikali yana jukumu kubwa na tunaweza kusema ya kwambakama sio mashirika yasio ya kiserikali area nyingi ya Kenya hasa arid areas hawangeweza kufika mahali wamefikakwa sababu wamewachwa mbali na Serikali. Majority of civil society organizations especially Ngo’s haveworked with and amongst the people in different sphere’s of life. This organizations have all along depended onexternal donors from the north ama Western. For how long?Ninatoa pendekezo hapa kuhusu Civil Societies. Tunasema there should be a provision for some strategic Ngo’sna Civil Societies waweze kupewa pesa na Serikali iliwaweze kuhudimia raia. Civil Societies, Ngo’s wanapatamsaada kutoka nje na wanasaidia raia wa Kenya, pesa zitengwe katika miradi ya Serikali na waweze kupewa pesa.The Constitution should make provision for sourcing of funds from national and multinational corporationsindividual citizens and consolidated fund. Ili waweze kufanya kazi yao vizuri.Kumalizia nasema ya kwamba. Mechanisms should be in place to ensure maximum participation ya kila mtukatika Serikali na hasa governance by women, youth na persons with disabilities. They should be included indecision making at all levels. Wanawake wasiwachwe nyuma kwa sababu ya kijinsia. Hayo yamesemwa maramingi. Wahusishwe kwanzia grass root mpaka national levels. Na pia the Constitution should recognize thedisadvantaged position of these groups and lay out strategies for uplifting their position in society so that theyare at par with other Kenyans. Na pia kwa hiyo class ya vulnerable groups tunataka kuuliza Commissionerswaongeze pastrolists. Pastrolists are vulnerable groups. Tunataka wakuwe considered as vulnerable groups.Asante.Com. Lethome : Asante Abduba. Yusuf Dogo? Kama hayuko karibu tunamtaka Zainab Wako? Yuko ZainabWako? Hayuko? Somo Roba? Afuatwe na Ahmed Noor Wako? Wafuatane hivyo hivyo halafu Hussein Robaafuatwe na Hussein Abdalla Sheikh amfuate.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!