10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
• No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

99Pia ningependa tu kusema ya kwamba katika Kenya hii corruption inaletwa na Koti. Leo hii ukishtakiwa inakuwani ngumu sana watu wataenda Kotini mara kumi, mara ishirini wanatumia pesa inakuwa postponed inakuwapostponed mpaka inakuwa ni rahisi heri upatie Polisi pesa ili usipelekwe Kotini. Kwa hivyo why don’t we changeour law, ya kwamba tunajua kama umefanya kosa fulani Polisi anauwezo ya kufanya, kusema hii inataka elfu tatulakini nataka ulipe elfu-moja nikupatie receipt tumalize ili usiende Kotini. Hiyo ingekuwa rahisi na inge-savemambo mingi katika Kenya hii.Pia ningependa kusema ya kwamba pia sisi kama Waborana sisi kama Wakenya tuko na sheria zetu wenyewe. Sisituna sheria ya kuadhibu watu mara kwa mara na imetufanyia kazi nyingi. Na imetufanyia sisi kazi nyingi. Naimetufanyia kazi vyema. Leo hii utaona number of criminals watu ambayo wako na hatia katika nchi hii ambayowanapelekwa Kotini ni fewer kwa ajili ya hiyo traditional law. Tungependa tuone ya kwamba katika sheria mpyaiangalie sheria ya tradition ili tuweze kumaliza mambo yetu sisi hapa hapa, bila kwenda kwa Central Government.Hii itakuwa ni bora kabisa na ningependa hii ifanyike.Kwa sababu leo hii nini inasimamisha. Kwa sababu kwa sisi Waborana leo hii hata ukiuwa mtu ume pelekwaKotini na Koti ikuwache, ili kuondoa ile uchafu na ubaya huo lazima tuna kaa chini. Na kama fine yako ni ng’ombe kumi tutakata hiyo fine ya ng’ombe kumi. Kama fine yako ni ng’ombe mia moja tutataka hiyo ng’ombe miamoja. Irrespective of whether you have gone to court, irrespective of whether you have been there in jail for awhile, hiyo ni kuonyesha traditional law iko bado very strong it must be enshrined in the Constitution. Kuona yakwamba watu wengine ambao wanaweza kuendelea na hiyo waendelee nayo.Pia ningepende kusema ya kwamba sisi ni Wakenya na Wakenya wako na kabila. Na kile inaweza kutusaidia ni yakwamba sisi tuone ya kwamba structure ya Government ambaye tuko naye leo hii, ambaye ni ya President pekeyake, ambaye ana-power kubwa namna hiyo, sithani, ingawa tumekaa na tumefanya amani kwa mwaka arubaininathani wakati huu lazima tuone tumebadilisha na tumehakikisha ya kwamba kuma distribution of power katikaKenya hii. Pengine tuwe na president na vice president na prime minister na deputy prime ministers ambaowanatoka katika sehemu mbali mbali na wanaweza kufanya power distribution katika Kenya hii.Pia ningependa tu kusema ya kwamba corruption na nepotism na mambo zote ambazo tumezungumzia piainaletwa na appointment. Tungependa kuona ya kwamba appointment ya watu permanent secretaries watuwakubwa Pcs nani, ministers even have to be vetted by Parliament so that yaani ionekana ya kwamba yule ambayeamepatiwa hiyo kazi anajua ya kwamba amepatiwa hiyo kazi sio ajili yeye ni ndugu ya fulani au ametoka katikakabila fulani au ametoka kwa upande fulani. Lakini ame patiwa hiyo kazi kwa ajili anaiweza na anaonekanaanaweza hiyo kazi na hii italeta transparency.

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!