10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

118maji itakuwa mambo ya Serikali ya Majimbo, mambo ya ulinzi foreign relations itakuwa ya Serikali, tunajuaSerikali kuu, tunajua hayo. Na taxation ya sehemu fulani itaenda huko na sehemu fulani itaenda kwa Majimbotuna fahamu hayo.Halafu tunapendekeza pia kwa maana President wa sasa amekuwa na kazi nyingi mpaka ameshindwa kufanya kazituwe na high breed system ambayo mamlaka ita gawanya kati ya rais na waziri mkuu. Kwa maana president nimwanadamu bwana, na anachoka na wengine miaka yao imekuwa nyingi sana badala ya kumtaabisha hivi mbonatusigawanye kazi tuwe na waziri mkuu hapa na kuwe na president hapa kila mmoja anajua kazi yake, na wazirimkuu awe na wasaidizi wake na rais awe na wasaidizi wake na ugawanyaji wa hio post iwe on regional basis kusudikila kabila tupate haki zetu. Hatutaki rais ni kabila fulani makamu wake ni kabila fulani na kadhalika hatutaki hiyo.Yes na nimemaliza.Ya mwisho ningesema mengi lakini wana ni-short-isha nitasema kuhusu vyama vya siasa kwa sasa nafikiri kunazaidi ya arubaini na zote inafuatana tu ukabila. Napendekeza ya kwamba tuwe na maximum of four politicalparties, four political parties kwa maana ikiendelea sasa hata mimi nafikiri miaka tatu ijayo nitakuwa na chamachangu. Chama cha kuwakilisha Waborana na Turkana watakuwa na yao kwa hivyo tunataka maximum of fourpolitical parties. Kwa hayo machache ningesema zaidi asanteni Mungu awabariki.Com. Lethome : Asante sana Daktari. Tunaomba tafadhali hiyo memorandum tupatie Daktari. Daktariinaonekana una memorandum tunaomba utupatie pia hayo maandishi. Tafadhali. Sasa kwa sababu ya wakatitafadhali nitafuata list sasa sitaki kuletewa majina kando kando sasa ili tuweze kumaliza watu wote. Dakika mbilizikiisha tafadhali nikikuambia maliza umalize. Godo Jahani? Awe karibu hapo na dakika zako mbili. DaudiGolicha uko karibu. Golicha hayuko? Abdilahi Gartasa yuko? Gartasa ufuwate huyo Mzee. Dakika mbili. Hayaanza Mzee. Bismilahi.Mzee Godo Jahani :yangu ni Godo Jahani. …[inaudible]…Bismilahi rahim. Asalaam Aleykum! Mimi nasema mapendekezo chache tu. JinaCom. Lethome :Endelea endeleaMzee Godo Jahani : Nataka kuzungumza kiborana. Assala mualeykum. Jambo la kwanza mimi nasema.Waan qaarra waan aann jeeduu, power rahisaa, guudhaan rabbi guudha, naamii raabbii guudha dhuur jiirr injiirr,aarmmaa fuudanii rayyissi sheerriyya guubba jiirra, arrm isumaa kuunoo aarmaa fuudanii rabbi guudhaa jeelaataan. Khaa aaccii gaadh buussanii, innileen akhuum binaadhamuu khaan waan siin uukuumaan issaleen khaauukuuman

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!