10.07.2015 Views

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

Constitution Of Kenya Review Commission [Ckrc ... - ConstitutionNet

SHOW MORE
SHOW LESS
  • No tags were found...

Create successful ePaper yourself

Turn your PDF publications into a flip-book with our unique Google optimized e-Paper software.

22Tunataka sehemu zetu katika biashara ziangaliwa kando, Katiba iheshimu, sababu hi ni sehemu ambayo tume patataabu zaidi. Kutoka 1963 mpaka leo. Sababu katika biashara yetu ihesabiwe kama sehemu ya vita, sehemu yataabu, ihesabiwe kama... una... unakuta katika License leo, licence ya Nairobi na Garbatula is the same. HaliNairobi ina kuwa na communication, wanakua an simu, wanakua na kila jambo. Lakini Garbatula, angalia kitu ganiutakuta.Nafikiri <strong>Commission</strong>ers mwenyewe kutazama leo, wana one kama ...[inaudible]..., kwa hivyo tunataka hizo nchiyetu iendelezwe na Katiba ijayo. Na tuhesabiwe ni kama watu wamekuwa nyuma, sasa wapelekwe, karibu naWakenya wengine.Katika Passport mfano tukiangalia leo, mtu akiweka mandevu hawezi kuwa na Passport, si tunadhulumiwa sana.Tunadhulumiwa mfano hata mimi niko hapa na nyinyi, kutoka 1993 nime-apply Passport zangu mpaka leo, sijapatamajibu. Na documents zangu ni hii. Hata ni ushahidi. Onyesha hata wananchi hiyo. Hiyo ni documents ambayonimekata 1993. Sasa hizo zote zinamanisha ya kwamba sisi tunadhulumiwa. Kwa hivyo Katiba ijayo tunatakazilinde haki yetu Waislamu, tuwe na Passport.Katika angalia katika form ya Passport kuna karatasi jingine wengine hawaweki. Sisi tunaweka. Tuna kuwa naextra karatasi ambayo katika leo Wameru hawawezi weka Borana anaulizwa hiyo karatasi iko wapi. Karatasi yaChief. Mnapenda Do, Dc. Sasa ina amanisha hiyo hata huta... haita tosheka na hiyo document ngapi. Every... kilakitu tukonayo, lakini haitambuliki. Kwa hivyo ina amanisha hiyo, tuna tengwa, ajiliya dini ama kijinsia sababu yanywele, sababu tunataka hiyo Katiba ijayo ikomeshwe sisi tuwe sawa sawa na wananchi wa <strong>Kenya</strong>.Mfano ukiangalia Nairobi, mtu Msomali ama Mborana akitembea, askari wana simamisha mara moja, anaambiwalete kipande. Je! Nairobi Burundi wako ndani, Rwanda wako, Zimbabwe wako, mbona sisi tunawindwa. Ni swali?Ndio hivyo Serikali... Katika ijayo lazima ihifadhi sisi, na vile tumekuwa nyuma zote tuangaliwe.Sisi kama Waislamu tunataka heshima yetu, tuwe na uhuru wetu ya kutembea, uhuru wa kufanya dini yetu kufanyamawaidha, tunataka zikubaliwe na Katiba mpya. Katika Madrassa ya Kiislamu, ziwe zina heshimiwa na Madrassayetu ya Kiislamu, ziwe education ile tunapata katika Madrassa ya Kiislamu itambulike, ziwe zinafanya tuapatacertificate kutoka education, ya elimu itambulike ya kwamba hi Madrassa ni part of education. Ili... tunataka hiyoMadrassa yetu itambuliwe. Katiba ilinde kati... Madrassa zetu iheshimiwe.Ya pili, tunataka kufanya kazi, kwa mfano tunahitaji Serikali ya majimbo katika Serikali. Mimi kama Muislamunapendekeza tunataka Serikali ya Majimbo. Isiwe utawala. Iwe karibu na sisi kabisa. Staff ama kuandika wafanya

Hooray! Your file is uploaded and ready to be published.

Saved successfully!

Ooh no, something went wrong!